Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

BOFYA HAPAhttp://www.google.com/url?sa=t&rct=...3MgMAH&usg=AFQjCNGWSM2q9qad3f2pjwemtVCOGfXZGA
_66222015_66222014.jpg
 
poleni sana majirani maana tumekula kichapo wote watoto wa manchester bora yetu tuliokataa dhihaka nyumbani CR7 on fire baby..
 
Kuna goli gani la utata pale? Je ni mchezaji gani wa Man u Kafunga?
acheni ushambenga.... Kama red card, refa amefanya makosa ya uanadamu tu, lakini kachezesha vizuri sana

Ah hah hah hah haaah Bujibuji jamaa wana ushambenga?
Mie naongezea wana upashkuna...
Ile kadi nyekundu ni halali kabisa, Nani amekwenda kuruka fran kick na hakuupata mpira, then mbaya zaidi likajidondosha chini na kuanza kugalagala as if limeumizwa...

Ukitaka kujuwa kitendo kile ni cha kipuuzi muangalie Van Persie aliekuwapo eneo la tukio je alionekana kushtushwa na kadi ile?
It was Fair...

Shenz type...
 
Man u wamekariri kuwa wao ndio wanapaswa kushinda mechi zote hapa duniani.

Real madrid ni Libolo kubwa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa heshima tunamuongezea jina lingine.
Kwa sasa anaitwa Jose Libolo Mourinho.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Timu dhaifu, Giggs awezi pambana na vijana wa RM, Rooney nje, Nani badala ya Young Ashley n.k. Ni mawazo yangu

Baki nayo mwenyewe...
Yule ni Sir. Hapa Duniani wako wawili tu yeye na partner wake Sir Elton John...
 
Kuna goli gani la utata pale? Je ni mchezaji gani wa Man u Kafunga?
acheni ushambenga.... Kama red card, refa amefanya makosa ya uanadamu tu, lakini kachezesha vizuri sana

Mkuu ile kadi ni halali kabisa. Wanaolalamika ni kutokana na uchungu tu. Wamshukuru CR kwa kuwabeba.
 
Huyu jamaa akijenga ukuta hakuna anayeweza kukatiza i see!
 
Back
Top Bottom