Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Mkuu Balantanda, haya ni makosa ya kibinadamu au umedhamiria kutu-mislead sisi vijana wako?

Mancini nenda, usiogope kamsalimie De Mateo wa Chelsea, Sentifield wa Yanga, Cirkovic wa Simba, Poulsen Sr wa Taifa Stars na watakatifu wote ambao Bwana amependezwa nao tangu kale.

aiseeeeeee babaangu alafu maswla ya ku2danganya upo wanjani kumbe haupo upo kwenye tv

Typo.......

My bad.....

Edited...
 
Mechi ina magoli mengi ,beki za timu zote mbovu
 
Poor making imewaua City goli zote 2 rooney kafunga goli zote unmarked...macho yote yanamtizama anaepiga krosi ROONEY anakaa nafasi nzuri na anawapa adhabu

4-5-1 kwa City imegoma maana Balloteli hawezi kupita msitu wa mabeki wa Manure na sio siri manure wamejitahidi kukaba na kufuata kila mpira! Tactically man city wanatakiwa wachezeshe Strikerz wawili wajaribu kupenya

otherwise city wakiendelea na 4-5-1 huku wengine hawakabi kama Mario,nasri,Silva wataongezwa
 
Lazma kiwachome, hata kama mpo kwenu lazma 2wafanyie mambo. Nitarudi baada ya dk 45 za second half, GGM UNITED
 
Safu ya ulinzi ya Man City haipo sawa Kompan na Koro wanagongana sana.
 
Tevez anataka kuleta madhara langoni mwa Utd........Offside
 
Gemu ngumu hii ngoja nikajiburudishe na mnazi kwa afya.
 
Back
Top Bottom