Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Japokuwa mimi ni Arsenal damu lakini nachukua nafasi hii kuwapongeza Man U. Hakika wanastahili pongezi.

Pamoja kuwa mpira ni bahati na wakati mwingine huwa tunadai kuwa Man U wanabebwa na referees lakini tu
kubali tukatae Man U ni timu inayojituma sana wawapo uwanjani! Yaani wanacheza kwa jihadi tofauti na timu
yangu Arsenal. Ya kaisali tumpe kaisali kusema kweli Man U ni timu mzuri. Ila timu yangu ya Arsenal ni Mavi matupu.
 
Mavi matupu menyewe!!
 
....ninywe ....FANTA....nasikia....inalewesha.....ninywe...Lager....nasikia...HAILEWESHI......
 
wewe balantanda ya arsenal yamekushinda unaanza kufuatilia ya man utd sio?
 
Ni utani wa jadi kama ilivyo kwa Asante Kotoko na Hearts of Oak za Ghana, ama Yanga na Simba hapa kwetu. Chezea kichapo wewe
 
Back
Top Bottom