Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Tevez anajiandaa kuingia.
Baloteli kakasirika kutolewa kaenda moja kwa moja vyumbani.
Tevez anajiandaa kuingia.
nashangaa anapitiliza kwenye chumba cha kubadilishia!!!!
Dakika ya 55
Man City 0-2 Man Utd
huyo ndo threat niliyekuwa simtaki katika mechi ya leo!!Kidogo tevez anaweza kubadili pale mbele.
Baloteli kakasirika kutolewa kaenda moja kwa moja vyumbani.
City wanashambulia sasa
Man City 1-2 Man Utd
Yaya Toure