rooney!!! man u1
Mzee wa Rula!Man U = SIMBA au nimekosea!!!Shenzi zao Man U, wanapata goal hapa.
Niko uwanjani
mimi nakemea kwa jina na aliye juu dua yako i-dissolve!!!Mashetani wekundu wanashambulia kama hawana akili nzuri, nawaombea dua mbaya wafungwe.
Man City 0-1 Man Utdaiseeeeeee babaangu unafaidi kwani ngapi ngapi hapa kwenye clab ya mbege haujaanza mkuu et una muona sir feg hapo ulipo kaa mkuu
Shenzi zao Man U, wanapata goal hapa.
Man City 0-1 Man Utd
naona city ndo nawasubiria wapate moja lao mpira uishe!!Rooney tena.