Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Game inabadilika......City wanaweza kubadili matokeo muda wowote
 
Assist Carlos Tévez 60′

Goal Yaya Touré CITY SCORE!!!

It could be a massive decision by the
linesman as Yaya Toure halves United's lead with a
cool finish. David de Gea denied Aguero twice
superbly from close range, but the Argentine
forward found the Ivorian who finished into the
bottom-right corner from 12 yards. Game on - but it should really be over after Young's wrongly
disallowed effort.
 
Naona Smalling kashika mpira makusudi....Refa kaminya
 
Rio anauza timu.....Tevez anakosa....Kipa anadaka

Beki ya Utd inatakiwa kuwa makini sana
 
Goli baada ya Balotelli kutoka. huko kwenye tunnel sijui atakuwa anajisikiaje?
 
Man Utd wanacheza viatu tu sasa hivi

Toureeeeeeee......................Offside
 
Dakika ya 75

Man City 1-2 Man Utd

Yaya Toure anapewa njano......Kabanwa na misuli
 
Back
Top Bottom