Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Difference kati ya ManU na ManC ni hii: ManU wana kocha na ManC hawajawahi kuwa na kocha japo wana wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu. Sisi Chelsea tungeshamfukuza siku nyingiii
 
[FONT=arial, sans-serif] Mzee wa Rula kuna hii inaweza kukuliwaza kidogo '[/FONT]City unbeaten at home in PL since Dec 2010'[FONT=arial, sans-serif]
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wa city wana nini na mancini? Hamna kocha pale...
 
[FONT=arial, sans-serif] Mzee wa Rula kuna hii inaweza kukuliwaza kidogo '[/FONT]City unbeaten at home in PL since Dec 2010'[FONT=arial, sans-serif]
[/FONT]

Is it true? Half time hivi sasa.
 
Last edited by a moderator:
Dakika ya 30

Man Utd 0-2 Man City

Mkuu Balantanda, haya ni makosa ya kibinadamu au umedhamiria kutu-mislead sisi vijana wako?

Mancini nenda, usiogope kamsalimie De Mateo wa Chelsea, Sentifield wa Yanga, Cirkovic wa Simba, Poulsen Sr wa Taifa Stars na watakatifu wote ambao Bwana amependezwa nao tangu kale.
 
Mancini nenda, usiogope kamsalimie De Mateo wa Chelsea, Sentifield wa Yanga, Cirkovic wa Simba, Poulsen Sr wa Taifa Stars na watakatifu wote ambao Bwana amependezwa nao tangu kale.
du kweli they are hired to be fired!!
 
Back
Top Bottom