Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Mzee wa Rula!Man U = SIMBA au nimekosea!!!
Umekosea ndiyo maana nikakushitua kuwa hawa jamaa nipo nao mbali mbali kabisa. Hata hivyo mpira magoli, mpaka sasa wanaongoza hongera zao na naona jamaa wamekamia wanacheza kandanda safi kabisa.