La Roche
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 231
- 445
Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)...
Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake.
Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa mnataka wananchi wakasemee wapi kero na maoni yao? Hii haikubaliki na nikiwa kama mwananchi ninayeipenda nchi yangu napinga hili kwa nguvu zote.
Nini mnaficha ambacho hamtaki wananchi tujue?
Mfano hapa Jamii Forum ma creator wa content ni sisi member bila kujali dini na itikadi zetu za vyama na tusiokuwa na vyama. Wote tuna uhuru sawa wa kutoa maoni na tukabishana kwa hoja.
Inawezekana picha ikawa haina tatizo lakini kwa kulazimisha kwenu kuficha ndipo wananchi tunapata wasiwasi zaidi wa kuhoji nini kinaendelea under the carpet? Kulikuwa na biashara gani inaendelea huko ikulu bila sisi wananchi kujulishwa? Acheni hizo.
As they say “he who pays the piper, calls the tune” hatutaki hiyo michezo.
Control over people is most definable one of the greatest downfalls in the life of any person in power.. And they don’t seem to be able to resist the complete pleasure involved in being put on a pedestal. And then idolized..
Until come the day and the public get wise to what’s been happening and find he too has feet of clay. They like to think of THEMSELVES as gods. Tusifikie ya Nepal.
Bado mna nafasi ya kurekebisha haya..