Mamilioni wamehama CHADEMA kumfuata Lowassa kimya kimya

K
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
Unajua maana ya utafiti? Hizi hisia umeandika hapa ndio unasema utafiti hupingwa kwa utafiti?
Goodness me!
 
Tujipange kwa kuingia msituni ama, maana sasa hivi ccm haifanyi siasa za hoja, bali inawategemea watu wasiojulikana. Subirini Magufuli akitoka madarakani muanze kufanya siasa. Kwa sasa hivi madaraka ya rais ndio yanafanya siasa, na ccm imegeuka kutoka chama cha siasa kuwa kundi la dola.
Kamanda acha kulialia
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
Mkuu utafiti wako ungekuwa na tija kama ungeambatanisha hata takwimu.Labda pia ungetuambia Chadema ina wanachama wangapi ndani na nje ya nchi
 
Kama walihama kimya kimya kwanini na ww usishangilie kimya kimya?? Hivi unaelewa hali ya sasa Nchi yetu Kiuchumi ikoje?? Au hao unaodai wamehama kimya kimya ndio waliovuruga uchumi??
 
Taifa Star's wanaenda Afcon,Maandalizi mabovu ,wewe umekalia Chadema.

Ngoja warudi wameboronga hii Kitu itakugharimu sana.
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
Kama walihama kimya kimya we ulijuaje?
 
Kwa taarifa yako Lowassa hakuja na kura yoyote ukiachia tamaa ya kina Mbowe na genge la kutaka pesa na kuishia kukitia chama nuksi. Ndani ya cdm Lowassa alikuta chakula mezani, halafu akaishia kuwa mgawaji. Lowassa hakuwa na mchango wowote kwa chama hasa kwa mantiki ya siasa zaidi ya yeye kukitumia chama kukidhi matakwa yake. Na kama kuna waliomfuata waendelee na akiona kuna yoyote aliyemuacha ahakikishe anaondoka.

Huyo mzee hawezi siasa na hatakaa aziweze maana alizoea siasa za kubebwa na vyombo vya dola. Nitajie siku uliyomuona Lowassa akijenga hoja zaidi ya nusu saa, zaidi ya kusikia wapambe wake wakisema kwamba ni mtu wa maamuzi magumu. Alaaniwe Mbowe na genge lake kukitia chama nuksi kwa tamaa ya vipande 30 vya fedha.
Mkui sikuona mchango wako zaidi ya kumshamnulia Mh Mbowe kama yeye. Jitahidi kujenga hoja ktk kujibu/kuchangia hoja badala ya mtu/watu individual. Una hoja ya msingi lkn huwezi kuifikisha kutokana na chuki binafsi juu ya Mh Mbowe.
 
Wewe kijana kuwa makini usije ukashughulikiwa na vijana wa mbowe wasiojulikana, huwezi kumlaani kiongozi wetu mpendwa hadharani namna hii. Amekitoa mbali sana hiki chama. Kila jambo alilolifanya, alifanya kwa nia njema ya kukijenga chama chetu ikiwemo kubadili gia angani.

By the way, Ukitaka kujua nguvu ya Lowassa muulize Halima Mdee, Mnyika na Kubenea. Sasa hivi wanahaha kutafuta shughuli za kufanya mtaani maana ubunge mwisho 2020. Mtu pekee wanaemtegemea kuwapa kiki ni Lissu. Nae hawana uhakika nae ndo maana unaona anarudi September hii ili wakamtest kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama Umaarufu wake ni halisi au wa kwenye mitandao.

Huna jipya boss, kiongozi akichemsha tunamuambua bila kumrembea. Ukimtoa Kubenea, Halima Mdee na Mnyika ni wabunge toka Lowassa akiwa ccm. Huyo Kubenea bado angeshinda bila msaada wa Lowassa, labda kama uniambie Lowassa alikuwa tume ya uchaguzi amtangaze. Kama Lowassa ndio aliwafanya hao uliowataja yeye binafsi alishindwa nini kuwa rais?

Ubunge sio kazi ya kudumu, na kuna maisha nje ya ubunge, kuna jipya gani hao uliowataja wakianza kutafuta kazi nyingine hasa ukizingatia hakuna mwenye haki miliki ya ubunge?
 
Mkui sikuona mchango wako zaidi ya kumshamnulia Mh Mbowe kama yeye. Jitahidi kujenga hoja ktk kujibu/kuchangia hoja badala ya mtu/watu individual. Una hoja ya msingi lkn huwezi kuifikisha kutokana na chuki binafsi juu ya Mh Mbowe.

Pole mkuu, nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, na huyo Mbowe nimemtaja mara moja na sijamtendea haki, maana nilipaswa kumtaja zaidi ya mara moja tena sio kwa lugha ya kupamba zaidi ya kumpa ukweli wake. Alichofanya yeye na genge lake kwa kumpokea Lowassa asiye na uwezo wala msafi kugombea urais ni kosa la karne. Kama wa una lugha nzuri dhidi yake sikuzuii unaweza fanya hivyo, ila mimi nimemtaja sio kwa chuki bali kwa upuuzi aliofanya. Usitake kugeuza kosa lake lionekane ni chuki binafsi dhidi yake.
 
Kamanda acha kulialia

Narudia tena, kwa sasa ccm sio chama cha siasa bali taasisi ya dola, na ushahidi ni siku Magufuli aliyopokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha. Subirini siku akitoka madarakani huenda ccm ikarejea kuwa chama cha siasa, ila kwa sasa endeleeni kutegemea watu wasiojulikana kukijenga chama.
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
Umalaya una sifa moja kuu. Hauna aibu; mtu anajivua nguo ili afanikishe Umalaya wake. Sawa wamemfuata sasa tutarajie uchumi ukipaa, haki za binadamu na mshikamano wa kitaifa. Uchaguzi huru Chama dola kikishinda kwa kishindo.
 
Mkuu utafiti wako ungekuwa na tija kama ungeambatanisha hata takwimu.Labda pia ungetuambia Chadema ina wanachama wangapi ndani na nje ya nchi
Tumeangalia makundi muhimu yaliyomfuata Lowassa ambayo kwa sasa yameyeyuka
 
Umalaya una sifa moja kuu. Hauna aibu; mtu anajivua nguo ili afanikishe Umalaya wake. Sawa wamemfuata sasa tutarajie uchumi ukipaa, haki za binadamu na mshikamano wa kitaifa. Uchaguzi huru Chama dola kikishinda kwa kishindo.
Kwisha habari yako huna hoja ni kawaida ya misukule kutukana badala ya kujenga hoja
 
Duh...!hii si itakuwa hatari sana kwa Chadema kuelekea 2020?.
Any way, naunga mkono hoja ya mtafiti wetu Kaka Wakudadavua, kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti, japo ule utafiti wa Twaweza kuhusu kupungua umaarufu, haukupingwa kwa tafiti bali kunyanganya passport ya mtafiti!.
P
Siyo tafiti tu bali hata report ya IMF ilipingwa bila tafiti
 
Back
Top Bottom