Mamilioni wamehama CHADEMA kumfuata Lowassa kimya kimya

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
 
Ikiwa mamia wamehama kimya kimya kuja ccm kinachowapa jeuri ya kutumia nguvu kubwa ili mshinde chaguzi ni nini?
 
Kwa utafiti wa "BARE WORDS" subiri kidogo tukuletee
 
Takwimu yako si sahihi. Wanachama wa CHADEMA wliohamia vyama vingine vya siasa ni wengi zaidi ya hao.
Kuhama ni haki yao. Wahame tu. Lakini hama hama hiyo inaweza kuleta neema kwa CDM.
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.

Kwa taarifa yako Lowassa hakuja na kura yoyote ukiachia tamaa ya kina Mbowe na genge la kutaka pesa na kuishia kukitia chama nuksi. Ndani ya cdm Lowassa alikuta chakula mezani, halafu akaishia kuwa mgawaji. Lowassa hakuwa na mchango wowote kwa chama hasa kwa mantiki ya siasa zaidi ya yeye kukitumia chama kukidhi matakwa yake. Na kama kuna waliomfuata waendelee na akiona kuna yoyote aliyemuacha ahakikishe anaondoka.

Huyo mzee hawezi siasa na hatakaa aziweze maana alizoea siasa za kubebwa na vyombo vya dola. Nitajie siku uliyomuona Lowassa akijenga hoja zaidi ya nusu saa, zaidi ya kusikia wapambe wake wakisema kwamba ni mtu wa maamuzi magumu. Alaaniwe Mbowe na genge lake kukitia chama nuksi kwa tamaa ya vipande 30 vya fedha.
 
Ndugu zangu,
Utafiti hupingwa kwa utafiti
Nawasilisha.
Duh...!hii si itakuwa hatari sana kwa Chadema kuelekea 2020?.
Any way, naunga mkono hoja ya mtafiti wetu Kaka Wakudadavua, kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti, japo ule utafiti wa Twaweza kuhusu kupungua umaarufu, haukupingwa kwa tafiti bali kunyanganya passport ya mtafiti!.
P
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
Wakati wewe ukiwa kwenye key board unapambana na Mbowe, mwenyekiti wako naye yuko anapambana kukariri definition ya catalyst ingawa yeye hua anaitamka kama "catarist"!
 
Ningekuwa wewe nisingekejeli,ningeshare huu utafiti kwenye makundi ya Chadema ili mjipange

Tujipange kwa kuingia msituni ama, maana sasa hivi ccm haifanyi siasa za hoja, bali inawategemea watu wasiojulikana. Subirini Magufuli akitoka madarakani muanze kufanya siasa. Kwa sasa hivi madaraka ya rais ndio yanafanya siasa, na ccm imegeuka kutoka chama cha siasa kuwa kundi la dola.
 
Nadhani watu wameamua kutofanya Siasa kutokana na mazingira na kuendelea na mishe mishe zao,maana Si kila mtu ni jasiri kusimama,maana saizi jela nje nje
 
Back
Top Bottom