Mamilioni wamehama CHADEMA kumfuata Lowassa kimya kimya

Mamilioni wamehama CHADEMA kumfuata Lowassa kimya kimya

Mtu yeyote anayehama chama chochote eti kwaajili ya kumfata mtu badala ya kufata mfumo thabiti,huyo anakuwa na matatizo ya akili.
 
Pole mkuu, nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, na huyo Mbowe nimemtaja mara moja na sijamtendea haki, maana nilipaswa kumtaja zaidi ya mara moja tena sio kwa lugha ya kupamba zaidi ya kumpa ukweli wake. Alichofanya yeye na genge lake kwa kumpokea Lowassa asiye na uwezo wala msafi kugombea urais ni kosa la karne. Kama wa una lugha nzuri dhidi yake sikuzuii unaweza fanya hivyo, ila mimi nimemtaja sio kwa chuki bali kwa upuuzi aliofanya. Usitake kugeuza kosa lake lionekane ni chuki binafsi dhidi yake.
Unajitahidi sana kutokua mnafiki. Lile lilikua ni kosa la karne na ndicho kinachoiua CDM kwa sasa.
 
Mleta mada anaonekana kaishiwa hoja kabisa.
Hawa ndiyo mapoyoyo waliohamia CCM kuunga mkono juhudi.
 
Uk
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
Ukae na watoto wa chekechea ndo uanze kuwadanganya huo upuuzi!!
 
Duh...!hii si itakuwa hatari sana kwa Chadema kuelekea 2020?.
Any way, naunga mkono hoja ya mtafiti wetu Kaka Wakudadavua, kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti, japo ule utafiti wa Twaweza kuhusu kupungua umaarufu, haukupingwa kwa tafiti bali kunyanganya passport ya mtafiti!.
P
Ndugu Pascal, kwanu wakudadavua ni serekali, iliyomnyanganya passport huyo mtu.

WDDV anastahili kujibiwa kirafiti. Swali langu kwake, mbona safari zake mikoani ni nyingi mno, ni mfanyibiashara au.........
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
SOMA COMMENT HII NA UIAMINI SANA

Mkuu hakuna mtu anampenda lowassa ,mbowe ,tundulissu wala zitto ,tunapenda maisha yetu ya kila siku tuu,na akitokea yeyote wa kutuonesha dira tutakomaa naye ikiwemo liqid fire nakupa sababu za kila mmoja anachopendewa
1.MH.Dkt MAGUFULI
Huyu alikuwa anajua kujibrand mapema kama kiongozi serious na mtendaji ,na hakuwahi chukuliwa anafaa kuwa rais sababu alionekana hawezi kutoboa fitna zinazohitajika kwenye ngazi hiyo ,Hata urais ni aliokota embe chini ya mnazi,siku mbili kabla ya uchaguzi wa ndani ya chama wangeulizwa watu waandike majina kumi yatayotoboa asilimia 80% ya wapigakura wa CCM wasingemtaja kwenye top 10,lakini watanzania walichoshwa sana na siasa za makundi ya kimtandao tem kikwete,tem membe,team j makamba etc na wanaompenda hata sasa ni kurudisha nidhamu makazini maana JK alifeli kuwa discpline watumishi neno ''unajua mimi ni nani ? '' lilishamili sana ,anazingua kwenye vya udikteta na ni wazi ni mweupe kuzidi pamba kwenye uchumi tangu nchi ipate uhuru hatujawa na rais anaetembea na cash mara anaunue matunda ,mara afagie ,mara agawe pipi ikulu ,mara akusanye sadaka ,na kubwa kuliko zote NAE KAUNDA MTANDAO WAKE WAKUTOGUSIKA MFANO KUMUACHA MFOJI VYETI.
2.LOWASSA
Huyu hakuwahi kuwa kipenzi cha watanzania bali kipenzi cha monduli na wamasai ,baada ya kuhamia upande B Watu walimtazama kama mwmba wakuwatolea CCm ,Kimsingi hata membe angehamia chadema angezua mafuliko pia ,ukitaka kuamini ona sasa hakuna mwenye time naye kabisaaaa.
 
Wakati nchi ipo kwenye janga la hasara za korosho, TRA na wafanyabiashara wanaofunga biashara wengine hapa ni kuweka siasa za uongo tu😲
 
Back
Top Bottom