Mamilioni wamehama CHADEMA kumfuata Lowassa kimya kimya

Ni wewe tu ndiye mwenye tatizo la Elimu, sisi wengine tuko vizuri kielemu ndiyo maana tuko ccm
Huko mko hivi.
tapatalk_1558852188968.jpeg
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
😂😂😂😂😂 Namlaani Lowassa kutuletea shule za kata na kuzalisha hiki kizazi cha kina Wakudadavuwa .. Hasara tupu tumepata bora wasingesoma kabisa
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.

Ni haki yao kikatiba, hakuna hata haja ya kujadili, mtu anapofanya kitu kilicho ndani ya sheria unamjadili nini sasa? Labda kama wewe ni Mbowe
 
Ubarikiwe sana kwa kulitambua hilo. Kipekee sijawahi elewa ni kwanini watu walichanganyikiwa na lowasa 2015? Alikua hana hoja yoyote kwa wananchi.
Kwa taarifa yako Lowassa hakuja na kura yoyote ukiachia tamaa ya kina Mbowe na genge la kutaka pesa na kuishia kukitia chama nuksi. Ndani ya cdm Lowassa alikuta chakula mezani, halafu akaishia kuwa mgawaji. Lowassa hakuwa na mchango wowote kwa chama hasa kwa mantiki ya siasa zaidi ya yeye kukitumia chama kukidhi matakwa yake. Na kama kuna waliomfuata waendelee na akiona kuna yoyote aliyemuacha ahakikishe anaondoka.

Huyo mzee hawezi siasa na hatakaa aziweze maana alizoea siasa za kubebwa na vyombo vya dola. Nitajie siku uliyomuona Lowassa akijenga hoja zaidi ya nusu saa, zaidi ya kusikia wapambe wake wakisema kwamba ni mtu wa maamuzi magumu. Alaaniwe Mbowe na genge lake kukitia chama nuksi kwa tamaa ya vipande 30 vya fedha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Namlaani Lowassa kutuletea shule za kata na kuzalisha hiki kizazi cha kina Wakudadavuwa .. Hasara tupu tumepata bora wasingesoma kabisa
Laana imekupata mwenyewe kamanda nikikumbuka jinsi ulivyozungusha mikono ukifikiria ni mabadiliko nacheka sana
 
Ndugu zangu,

Baada ya Mbowe kuja na povu huku akimdhihaki Lowassa baada ya kukitelekeza Chadema huku akitamba kuwa kaondoka yeye (Lowassa) na familia yake hakuna aliyemfuata.Niliamua kunyamaza kimya na kufanya utafiti kabla ya kujibu.

Nilianza kufuatilia kundi la "ulipo tupo" na kubaini wamemfuata,niliangalia majimbo ya Dar mfano Ubungo,Kawe,Kibamba na Segerea kwa kweli huku mbeleko ya Lowassa iliwabeba wagombea udiwani na ubunge wa Chadema mwaka 2015 nako hali ya Chadema ni mbaya.

Nikifanikiwa kupita maeneo ya Moshi,Siha,Hai na Rombo wengi wameondoka Chadema kimyakimya.Pia nimepita majimbo yote ya mkoa wa Arusha huku ndio kabisa Chadema inapumulia mashine,baadaye nikaenda mkoa wa Manyara huku hata ule upinzani mdogo umeyeyuka.

Zaidi,kwa haraka haraka nikaangalia wale wenyeviti wa baadhi ya mikoa na wilaya wote wameondoka Chadema.

Baadhi waliobaki Chadema ni Sumaye,Mahanga na Salim Ally pamoja na kundi la kijasusi ambalo limesheheni "wasiojulikana" ambao wanabaki kufanya kazi maalum ya kumsaidia Kada Mbowe kudhibiti wajuaji na viroboto.

Utafiti hupingwa kwa utafiti si vilio,kejeli na matusi.

Nawasilisha.
Kundi la ubadilishaji gia angani halitaamini ulichoandika.

Ila niliulize tu Sera zilizozinduliwa kwa mbwembwe ziko wapi? Tunapoelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, ndio wakati hizo Sera zingekuwa zinapamba mitandao ya kijamii. Au ni siri ziibiwe! Du!
 
Kamanda nani ni kiroboto ndani ya Chadema?
Viroboto ni wadudu wanaopenda kuishi kwa kutegemea damu za wanyama Kama vile mbwa na panya na hats binadamu! Kwa kuwa wanapokung'ata lazima ngozi iwashe na yakubidi ujikune! Na ukijikuna yeye huruka na kuhamia sehemu nyingine ya mwili au kwa mnyama mwingine!
Kwenye vyama vya siasa ccm imejawa ma viroboto wengi kwani ndiyo hufuga voroboto kwa wingi na huruhusu viroboto wao kuvorukia vyama vinginevyo ili kuving'ata na kuvivuruga na vikizidiwa kwa kukunwa huruka kurudi sehemu zao za asili!
Ndiyo kusema viroboto kutoka ccm vilivyorukia cdm vimerudi huko ccm kwenye makazi yao na kwa sasa vining'gata Sana ccm kiasi kwamba imeamua kuajiri dola kusaidia kuikuna!
Kwa sasa cdm viroboto vimekwisha baada ya kufanya usafi Wa mwili!
 
Kawadanganye wehu wenzako wewe

Back
Top Bottom