Ndio mpnz...Mayai ya kuchemsha...vitunguu vyekundu...parachichi vyote unakata vibox vidogo vidogo....unaweka chumvi..limao na pilipili kidogo ukipenda!Nzuri sana kula hata na mkate!!Lizzy....msaada hapo, ina maana hiyo kachumbari inachanganywa na mayai ya kuchemsha?....
Unakula papa na nguru wewe kwa ugali?yaani hili wanawake wakilijulia hakutakuwa na kupigiana simu kuulizana uko wapi,unarudi saa ngapi...
we unasema tu pilau ya pweza inakusubiri huku...
halafu uone kama atachelewa mtu kurudu lol
BJ wahi tu hiyo lunch mama uridhishe moyo wako.Vyote ulivyotaja hapo napenda ukiongezea na perege wa kukaanga kisha waungwe mchuzi bila kusahau chapati kwa maharage ya nazi!Ohhh la la!Lizzy..umenipa hamu ya kula lunch mapema hii wakati muda bado..lolMimi wali maharage ya mbeya, kachumbari safi iliyokolea pilipili na ndimu na samaki aliyekaangwa pembeni aina ya changu!..napenda sana!Ugali na samaki sato, hapo hunitoi...sato aliyekaangwa kwanza halafu kutengenezewa mchuzi ulio na nazi plus pilipili..ooh la la iko penda hiifirigisi zilizotengenezewa mchuzi kwa ndizi za kukaanga...ooh my!!Naomba niishie hapo!!..kula ni starehe nzuri sana!!
Hahaha...karibu sana mkwe...ila next time nataka unipikie wewe kuhakikisha mwanangu hatoishi kula nyama choma kila siku!
Hiyo idara inakupiga chenga?!
Ndio mpnz...Mayai ya kuchemsha...vitunguu vyekundu...parachichi vyote unakata vibox vidogo vidogo....unaweka chumvi..limao na pilipili kidogo ukipenda!Nzuri sana kula hata na mkate!!
Hahahaha!Mkwe umeniacha sina mbavu!!Hivi kumbe inasababisha watu kukomaa nyuso ehhh?!Kazi kwao walaji!!Hehehe masista du hao...jikoni hua wanaingia kwa kuchungulia.Utadhani wana RB....Hahaahaha nyama choma kisa cha kumkomaza uso anatafuna mishipa ya kichwa inatokeza......... usihofu mamkwe mwenyewe jikoni madikodiko mwenye atakubali hakubahatisha...... sio wadada wasikuhizi chips mayai/kuku wakisasa kutwa kuchwa.......jiko limegeuka kituo cha police
Hahahaha!Mkwe umeniacha sina mbavu!!Hivi kumbe inasababisha watu kukomaa nyuso ehhh?!Kazi kwao walaji!!Hehehe masista du hao...jikoni hua wanaingia kwa kuchungulia.Utadhani wana RB....
Hahahah...kweli ni noma!Kumbe ndo maana wengi wa aina hiyo hua wanarudi majumbani nyuso wamekunja tabasamu mpaka xmass!!Hebu fikiria anakutana na nyama choma ngumu atafune mpka ashibe atakuwa katika hali gani akifika home unampatie paracentamo
Ndio mpnz...Mayai ya kuchemsha...vitunguu vyekundu...parachichi vyote unakata vibox vidogo vidogo....unaweka chumvi..limao na pilipili kidogo ukipenda!Nzuri sana kula hata na mkate!!
Hhhaha!Charger siri za jikoni ruksa kushea ukipenda ila za chumbani ni kwaajili ya wenye chumba peke yao!Mmh hi thread sio ya kuisoma wakati unanjaa utateseka bure,LIZZY inaonekana opo fit kimapishi,ni hayo tu au hata yale mapishi yetu yale??