Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Mambo ya misosi sio? teh! Lizzy mi napenda magimbi na viazi vitamu! Kwan navyo hunogesha mapenzi?
 
Mambo ya misosi sio? teh! Lizzy mi napenda magimbi na viazi vitamu! Kwan navyo hunogesha mapenzi?
Leo umenifurahisha sana Gagu...nna miaka sijala magimbi...nakumbuka yalivyokua yananoga na chai asubuhi.Viazi vitamu vya kukaanga/kuchemsha navyo si mchezo!!Maakuli yote yakiandaliwa vizuri yananogesha penzi...hata dagaa watu wanazozani ni mboga za masikini!!
 
Ndio BAK....unapenda?!

Mie vyakula vya kwetu vingi tu navipenda ila Biriani ndio mhhhhh! Wali wa dagaa na bamia kidogo au mchicha na pilipili mbuzi poa sana halafu una kigudulia chako cha maji bariiiiiidi pembeni hahahahahah lol!

 
Last edited by a moderator:
Mie vyakula vya kwetu vingi tu navipenda ila Biriani ndio mhhhhh! Wali wa dagaa na bamia kidogo au mchicha na pilipili mbuzi poa sana halafu una kigudulia chako cha maji bariiiiiidi pembeni hahahahahah lol!
Yani we acha tu....alafu eti kuna watu utasikia wanadai maharage na dagaa ni chakula cha masikini!!!Ile ishu sijasahau sema macho yanalazimisha kufunga naogopa nisije nikaboronga!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Yani we acha tu....alafu eti kuna watu utasikia wanadai maharage na dagaa ni chakula cha masikini!!!Ile ishu sijasahau sema macho yanalazimisha kufunga naogopa nisije nikaboronga!!!

Hata ugali wengine wanadai ni chakula cha maskini!!! we acha tu!!! Hivi hii kachumbari ya mayai ya kuchemsha ni kachumbari au ni salad yenye vitu mbali mbali yakiwemo mayai ya kuchemsha?
 
Oooh kumbe una maanisha chakula hiki!!! maana nimeona Like ya kwanza from Mzee Mwanakijiji, nikasema basi...tushaanzwa na mafumbo tena!well, wahenga walisema:
"The way to a man's heart is through his stomach." -Wahenga.​
Mafumbo ntayajulia wapi mie mtoto wa migombani!?
 
Hata ugali wengine wanadai ni chakula cha maskini!!! we acha tu!!! Hivi hii kachumbari ya mayai ya kuchemsha ni kachumbari au ni salad yenye vitu mbali mbali yakiwemo mayai ya kuchemsha?
Mhhh hivi kachumbari sio sawa na salad?!Nwy hiyo ni ya parachichi...mayai ni nyongeza!!Hahahahaa....karibu vyakula vyetu vyote vya asili na vyenye afya tele ni “vya masikini“.Raha ilioje kwa sisi tuvipendavyo....
 

Attachments

  • IMG433-1.jpg
    IMG433-1.jpg
    36 KB · Views: 29
Chakula ni sehemu muhimu sana maishani...kwanza tunakula ili kushiba baadhi hawajali mapishi ilimradi tumbo lijae na wengine kila siku wanaongeza ubunifu kunogesha vyakula vyao mpaka wote wanaoonja wanafurahi.Hii ishu ya usawa unaopelekea kina mama kufanya kazi sawa na kina baba...uvivu unaopelekea mama kubweteka wakati dada anaunguza jikoni...umjini unaopelekea wasichana wasijifunze kupika kwakweli vinachangia kuvunja mahusiano au hata kuyakoroga na kupunguza hamasa ya kula majumbani wa baadhi ya watu.Unakuta mama akirudi kachoka dada ameshachemsha (korofisha kwa kiasi ajuacho yeye) matabolo huko kama mjomba wangu anavyoita chakula kibaya...au hata kama ana muda anaona uvivu kusimama/kaa jikoni akapikia familia yake...then wale wenzangu ambao hawakujifunza utotoni/ujanani hivyo hata akisema ajitahidi unakuta hajui nini kinachotangulia kati ya nyanya na hoho basi utamu wa chakula familia inaishia kupata siku wakiwa out...kwa ndugu na jamaa au siku mzee akijiopolea nyumba ndogo huko.Wengine hata chakula kipendwacho zaidi na familia yake anajua dada na sio yeye.Fanya familia/ndugu/marafiki/mpenzi wako wakumiss kwa vitu tofauti tofauti ukiwa haupo au umezidiwa na kazi.Wape vitu zaidi vya kusema natamani mama/dada/mke/mpenzi wangu ndo angekua amepika au natamani chapati za mama.Nikiandika yote yanayocheza kichwani kuhusiana na hili jambo thread itakua ndefu watu fidenge waanze kulalamika so let me cut to the chase.Nataka kuwachalenge wadada /wamama wote hapa jamvini.Nna uhakika weekend wote mnapata vijisaa kidogo vya kupumzika...so. chukua lisaa limoja na nusu hivi au mawili uwaandalie ndugu/marafiki/familia/mpenzi wako chakula.Kwa wale mnaingiaga jikoni kuangalia kilichopo kwenye sufuria tu usiogope jiko bwana...haliumi!!Kama wahitaji recipe ya kitu fulani unaweza kuuliza hapa hapa nadhani wajuzi wapo!Kama ukifanya hivi feedback isikosekane...washangaze watu na mlo wa ukweli mpaka uulizwe ULIKUA WAPI SIKU ZOTE...?(Kwa hisani ya babu Asipirini)Picha kwa ushawishi zaidi.....Leo nimekula huo wali kuku wa kienyeji mtamu balaa!!View attachment 32964View attachment 32966View attachment 32967View attachment 32968View attachment 32969View attachment 32970View attachment 32971View attachment 32965
Lizzy!Nimekukubali kwa hii tathmin uliyoiweka hapa, mie bado niko single na napata taabu sana kumpata wa kuungana nae mwili uwe mmoja.Ninaovutiwa nao kwa sura/pamba/elimu au mapenzi ya dhati unakuta hawajui kupika.Lakini nimekutana na wachache ambao sina mpango nao kivile(mapozeo) huwa nashangaa, ukimualika gheto ni kosa, anafanya kweli misosi, tena hata anapokuta mapungufu gheto ana saidia ushauri wa nini kifanyike kwa gharama nafuu na kweli mambo huwa MUSWANO! Tatizo anakua sio chaguo ila most of them wa namna hii huwa nawamiss kwa kweli. Wakati mwingine anakua tait na pilika zake za mihangaiko ya siku mnakutana usiku (labda saa 3), mie niko hoi sijala na yeye pia, napendekeza twende sehemu tukagonge kihepe cha fasta ili tuwahi kulala coz wote tumechoka, unashangaa anakwambia haina haja mbona humu ndani kuna hiki na kile, pumzika hapo kwa tivii dakika chache msosi utakua poa hamna haja ya kutoka. Kweli Mwanangu dakika chache nasinzia kwa kochi ananistua na bonge la menyu ambalo hata sikuliwazia maishani. Napata menyu hadi nahisi mwili umegain weight.Lakini hawa wengine ninaowatamani wawe wangu milele, wananichanganya tu na SNEII zao za kuungaunga hapo YUDII utasikia ''lets drive dia tukachukue take way....ma...ta....ko yako...!! Sio wewe Lizzy ni hao wadada wa VIJINSI wanakera bana aghaaaaaa....mie nimechoka bado unaendelea lets drive dia!
 
Back
Top Bottom