Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Mmmh vipi ile mboga ya mayai ya kukaanga na nyanya kwa ugali?!

Msosi wa haraka haraka huo Lizzy hauhitaji muda mwingi 🙂 ndani ya nusu saa tu uko mezani unajichana
 
aah kumbe na hii unaijua lizzy?hii ya chap chap hii fasta mnakula lol
Doooh!!Sema siipendi sana!Mi mayai napenda ya kukaanga na pilipili hoho na vitunguu!Ohh na vipi kachumbari ya parachichi na mayai ya kuchemshwa?!Hii nilijifunza kutengeneza kwa babu yangu!!
 
Ukijua texture ya vyakula kwa viwango tofautitofauti vya joto la kupikia, basi wee uko one step closer ya kuwa mjuzi wa mapishi bora. Kujua aina mbalimbali ya raw/fresh ingredients na namna ya kuchanganya moja na nyingine kunakufanya mtu uwe semi-pro kwenye misosi. Presentation na na new ideas vinakufanya uwe pro cook!
 
Kweli kabisa!!Kupika ni usanii na ubunifu!!
 
Ukijua texture ya vyakula kwa viwango tofautitofauti vya joto la kupikia, basi wee uko one step closer ya kuwa mjuzi wa mapishi bora. Kujua aina mbalimbali ya raw/fresh ingredients na namna ya kuchanganya moja na nyingine kunakufanya mtu uwe semi-pro kwenye misosi. Presentation na na new ideas vinakufanya uwe pro cook!

very true mkuu
na sio vyakulavya kupika tu
hata vitu kama juice na kachumbari...
kuna utundu wa kutengeneza kachumbari na juice
unaweza kukupa point sehemu usiyotarajia lol
 
very true mkuu
na sio vyakulavya kupika tu
hata vitu kama juice na kachumbari...
kuna utundu wa kutengeneza kachumbari na juice
unaweza kukupa point sehemu usiyotarajia lol

Hapo nami nimo ila tu pilipili yangu huwa imezidi kipimo 🙂 lakini chumvi na limao huwa havizidi wala havipungui
 
very true mkuuna sio vyakulavya kupika tuhata vitu kama juice na kachumbari...kuna utundu wa kutengeneza kachumbari na juiceunaweza kukupa point sehemu usiyotarajia lol
Hehehe namjua mtu (mkaka) hua anajisifia kweli kwa kutengeneza kachumbari haswa ya pilau...hua namwachia atengeneze na sijawahi kujutia.Kila mtu na utaalamu wake...Binafsi najua aina tatu za kachumbari zinazotokana cabbage nzuri balaa!!
 
wifi bahati yako unajua kupika,manake kwa braza kaka ungechemsha! umejiponza,j2 nikitoka church nahamia kwako,plz mihogo ya nazi na nyama na ile kachumbari ya yule mkaka (japo kawivu kwa mbali!)
Hehehe namjua mtu (mkaka) hua anajisifia kweli kwa kutengeneza kachumbari haswa ya pilau...hua namwachia atengeneze na sijawahi kujutia.Kila mtu na utaalamu wake...Binafsi najua aina tatu za kachumbari zinazotokana cabbage nzuri balaa!!
 
kweli kabisa TB, have never regreted a dash of fresh ginger in my juice. punch (mix of diff fruits,i never limit my imagination) is my all time fav!
very true mkuuna sio vyakulavya kupika tuhata vitu kama juice na kachumbari...kuna utundu wa kutengeneza kachumbari na juiceunaweza kukupa point sehemu usiyotarajia lol
 
texture and spicing ni muhimu sana. kuna mtu anapika mayai na maini hadi yanakuwa kama manati! beef nayo isipopikwa ikaiva uzuri unashindwa kutafuna na kumeza kama panadol!
Ukijua texture ya vyakula kwa viwango tofautitofauti vya joto la kupikia, basi wee uko one step closer ya kuwa mjuzi wa mapishi bora. Kujua aina mbalimbali ya raw/fresh ingredients na namna ya kuchanganya moja na nyingine kunakufanya mtu uwe semi-pro kwenye misosi. Presentation na na new ideas vinakufanya uwe pro cook!
 
lizzy,pamoja na u-busy kiasi,one trick works. wknd, unaandaa ingredients zote (huwa nakuna nazi kabisa,well kwa hisani ya dada na ku-freeze).manake uchujaji wa nazi ndo critical! wakati niko njiani simu kabisaa nataka swaumu,kitunguu maji etc viwekwe sawa. nikifika tu,within 30mins kila kitu tayari,inabakia kuoga na kujichana. kitu kingine muhimu ni uandaaji wa chakula mezani!kama hakuna utundu kwenye vyombo,layout na upakuaji( i notice hata thermos yenye michai nje kama sufuria iliyosongea makande!) inapunguza ladha na thamani ya chakula!kuwa busy sio kisingizio,mwanamke ukipenda chakula na vitu vizuri,unajikuta unafanya kwa ajili yako mwenyewe na automatically familia inafurahia!
 
Nyie watu ndio nini kutamanishana asubuhi asubuhi,

Kuna huu mhogo unaukata vipande vidogo dogo ila sio sana unaweka kwenye sufuria, unakatia kitunguu maji kisha unanyunyizia tu mafuta juu na chumvi kidogo, unaweka jikoni ukiiva wakati wa kula unakua na karanga zako pembeni zile nene nene na chai yoyote uipendayo lol waweza jing'ata kwa utamu ingawa mapishi yake yanaonekana ni simple sana.
 
Bila kusahau wali na kisamvu lol, kilichochanganywa na nyama tena ile yenye mifupa mifupa ndio ina supu nzuri, unaweka tui lako lile zito lile jepesi waweka kwenye wali jama jama. Mchana natoroka kwenda kumalizia kiporo changu. Vyakula vyetu vya asili ni vitamu sana ukivipatia mapishi
 
Back
Top Bottom