Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
La zabibu na mayai yalochemshwa!
Ila sikujua kuwa wanaume mnapenda chakula namna hii.....huuuuh!!
Gaijin kiboko, hebu nifafanulie hapo, duu kuna mapishi ndio nayackia leo.
La zabibu na mayai yalochemshwa!
Ila sikujua kuwa wanaume mnapenda chakula namna hii.....huuuuh!!
Hhhaah...maujanja jikoni muhimu wifi!!Tena umenikumbisha mihogo yangu ya kuchemsha ngoja nikaitengenezee chai ya tangawizi fasta!!!Kachumburi ya huyo mkaka ntamwambia atengeneze special kwaajili yako na manjonjo aongeze!!wifi bahati yako unajua kupika,manake kwa braza kaka ungechemsha! umejiponza,j2 nikitoka church nahamia kwako,plz mihogo ya nazi na nyama na ile kachumbari ya yule mkaka (japo kawivu kwa mbali!)
Sasa we bibie unalalamika kutamanishwa alafu na wewe unatutamanisha...au ndo kukomoana mwenzangu!!?Lolzzz!!Ila kweli kisamvu kitamu jamani....sema mimi napenda kiwe na ugali!!Bila kusahau wali na kisamvu lol, kilichochanganywa na nyama tena ile yenye mifupa mifupa ndio ina supu nzuri, unaweka tui lako lile zito lile jepesi waweka kwenye wali jama jama. Mchana natoroka kwenda kumalizia kiporo changu. Vyakula vyetu vya asili ni vitamu sana ukivipatia mapishi
Gaijin kiboko, hebu nifafanulie hapo, duu kuna mapishi ndio nayackia leo.
mh! lizz,babu,gaijin, the boss yaonekana mnapenda kula sana. mmeishupalia hii mada kwa mpaka thread karibu inajaa kwa michango yenu tu wanne. oneni sasa mmesababisha mzee wa kijiji kashindwa kula ugali wake wa matembere na mlenda. mmepatikana style yake..hongera mtoa madaOhh pole!!Shushia na maji!
du! sisemi kitu. kweli kutembea kwingi kuona mengi..hebu nipisheni nipite...Nyamayao
Hapo unataka ufafanuzi kuanzia zabibu au ni mayai ya kuchemsha tu kwenye pilau?
Nyamayao
Hapo unataka ufafanuzi kuanzia zabibu au ni mayai ya kuchemsha tu kwenye pilau?
Hhhaah...maujanja jikoni muhimu wifi!!Tena umenikumbisha mihogo yangu ya kuchemsha ngoja nikaitengenezee chai ya tangawizi fasta!!!Kachumburi ya huyo mkaka ntamwambia atengeneze special kwaajili yako na manjonjo aongeze!!
Doooh!!Sema siipendi sana!Mi mayai napenda ya kukaanga na pilipili hoho na vitunguu!Ohh na vipi kachumbari ya parachichi na mayai ya kuchemshwa?!Hii nilijifunza kutengeneza kwa babu yangu!!
naomba ufafanuzi wote, kuanzia zabibu na hayo mayao ya kuchemsha kwenye pilau dear.
Kweli chakula sio kula tu ilimradi kushiba!
We hupendi?!mh! lizz,babu,gaijin, the boss yaonekana mnapenda kula sana. mmeishupalia hii mada kwa mpaka thread karibu inajaa kwa michango yenu tu wanne. oneni sasa mmesababisha mzee wa kijiji kashindwa kula ugali wake wa matembere na mlenda. mmepatikana style yake..hongera mtoa mada