Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Hehehehe BOSS na BAK embu chukueni vitabu na kalamu muanze kupiga mahesabu ya nyumba ipi mkaombe uchumba kabla hamjakosa pilau ya pweza kila wiki!!
 
he he hee wewe hii thread imeanzisha mambo...
unaona hapo watu wanne tu tupo page ya nne sasa
umetugusa sisi wa limbwata msosi lol
 
Nyama ilopikwa kwa nazi mpaka ikanyambuka kisha ikawekwa na karanga jee na pilipili kwa mbali! Usipime!

Mhhhhh! We mapishi yako kiboko! Nyama ya nazi tena na karanga juu halafu imenyambuka hahahahahah lol! naona hii unakunywa kama uji 🙂....Mie najua karanga huwa sana zinatiwa kwenye mboga za majani kama vile majani ya kunde, kisamvu, majani ya maboga n.k hii ya karanga kwenye nyama sijawahi kuonja.
 
he he hee wewe hii thread imeanzisha mambo...unaona hapo watu wanne tu tupo page ya nne sasaumetugusa sisi wa limbwata msosi lol
Hahahahah...mtakoma maana ndo tushawaweka viganjani hivyo!!
 
Mhhhhh! We mapishi yako kiboko! Nyama ya nazi tena na karanga juu halafu imenyambuka hahahahahah lol! naona hii unakunywa kama uji 🙂....Mie najua karanga huwa sana zinatiwa kwenye mboga za majani kama vile majani ya kunde, kisamvu, majani ya maboga n.k hii ya karanga kwenye nyama sijawahi kuonja.

mkuu unaujua msusa mkuu?????
majani ya maboga na karanga
 
Mhhhhh! We mapishi yako kiboko! Nyama ya nazi tena na karanga juu halafu imenyambuka hahahahahah lol! naona hii unakunywa kama uji 🙂....Mie najua karanga huwa sana zinatiwa kwenye mboga za majani kama vile majani ya kunde, kisamvu, majani ya maboga n.k hii ya karanga kwenye nyama sijawahi kuonja.
Yani hapo kwenye mboga za majani na karanga umemaliza kabisaaa!Alafu moshi tuna KWEME...sijui sehemu nyingine wanaitaje ila ukubwa wake kama kifuniko cha soda hivi na zenyewe zina mafuta kama karanga yani ukoweka kwenye mboga ni kulamba vidole mwanzo mwisho!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

nafikiri ndo msusa huo....
 
kwa mwendo huu hatuna ujanja lolpilau ya pweza,chai mchaichai,katresi na mkate wa kumimina limbwata hili lol
Heehhehehe...limbwata la kudumu alafu wote mnafurahia sio mmoja anakua amezuzuka!!
 
Mhhhhh! We mapishi yako kiboko! Nyama ya nazi tena na karanga juu halafu imenyambuka hahahahahah lol! naona hii unakunywa kama uji 🙂....Mie najua karanga huwa sana zinatiwa kwenye mboga za majani kama vile majani ya kunde, kisamvu, majani ya maboga n.k hii ya karanga kwenye nyama sijawahi kuonja.

Haifiki kunyambuka kama uji, lakini inakuwa laini kiasi cha kuweza kuliwa bila ya kutumia nguvu kuchakua. Na karanga zinakwenda vizuri tu na hiyo nyama. Si unajua nazi na karanga 'zinaoana' lol
 
yaani hili wanawake wakilijulia hakutakuwa na kupigiana simu kuulizana uko wapi,unarudi saa ngapi...we unasema tu pilau ya pweza inakusubiri huku...halafu uone kama atachelewa mtu kurudu lol
Hehehehe....kweli dawa yenu ndo hii.Hata mabeste wakitaka mpite bar we unasema unawahi nyumbani umechoka kumbe hutaki pilau lako lipoe!!
 
Back
Top Bottom