Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Mie naomba nifundishwe jinsi ya kutengeneza pilipili/chachandu, (sijui ndio inaitwa achali).. plzzzz anaejua anipe recipe!

Suala lako halijaeleweka......unataka ufundishwe kutengeneza pilipili au achari? Hivyo ni vitu tofauti
 
kila kitu ni mpaka uonje ndo utajua

mfano maziwa bardi na vanilla ndo inakuwa sharubati
umewahi kunywa sharubati?????

chai na vanilla usipime
unaweka kidoogo sana,
tafuta anaejua uonje kwanza

wewe mpishi nini Boss?? maaana mmh! hii huwezi taja kwa kubahatisha...
 
Mhhhhh! We mapishi yako kiboko! Nyama ya nazi tena na karanga juu halafu imenyambuka hahahahahah lol! naona hii unakunywa kama uji :)....Mie najua karanga huwa sana zinatiwa kwenye mboga za majani kama vile majani ya kunde, kisamvu, majani ya maboga n.k hii ya karanga kwenye nyama sijawahi kuonja.

Ni mboga nzuri saana hasa kwa wali wa nazi...
 
lizzy,pamoja na u-busy kiasi,one trick works. wknd, unaandaa ingredients zote (huwa nakuna nazi kabisa,well kwa hisani ya dada na ku-freeze).manake uchujaji wa nazi ndo critical! wakati niko njiani simu kabisaa nataka swaumu,kitunguu maji etc viwekwe sawa. nikifika tu,within 30mins kila kitu tayari,inabakia kuoga na kujichana. kitu kingine muhimu ni uandaaji wa chakula mezani!kama hakuna utundu kwenye vyombo,layout na upakuaji( i notice hata thermos yenye michai nje kama sufuria iliyosongea makande!) inapunguza ladha na thamani ya chakula!kuwa busy sio kisingizio,mwanamke ukipenda chakula na vitu vizuri,unajikuta unafanya kwa ajili yako mwenyewe na automatically familia inafurahia!

That my wii.... Dah! lol
 
Partner THANKS sending me this wonderful post...
naona nilipitwa kweli... entertaining.... Dah! na
huyu Gaijin naona wa kumtembelea kwake huyu...lol
 
Jamani mi naomba kufundishwa hicho kisamvu kilichochanganywa na nyama.

Kuna aina nne hivi ya kusamvu chenye mchanganyiko wa vitu vyengine

1. Kusamvu na mbaazi

Pika kisamvu mpaka kiwive. Pika mbaazi nazo mpaka ziwe laini. Changaya pamoja na unga kwa tui la nazi kama unavyopika kisamvu kikawaida

2. Kisamvu na kamba wadogo (prawns)
Upishi wake unafanana na wa hapo juu lkn kwa ladha bora kaanga prawns wako kidogo ili kuomdoa harufu ya shombo

3. Kisamvu na nyama
Tayarisha nyama mbali hadi iive, na tayarisha kisamvu chako pia

Baada ya kuiva unaweza kuunga kama kawaida na nazi au unaweza badala yake kufanya kwenye mtindo wa supu au mchuzi bila ya kutia tui.

Note: changanya nyama yako na tangawizi na kitunguu thomu na pilipili manga,na chumvi, ifunike jikoni kwenye moto mdogo mdogo bila ya kuitia maji kwa ladha bora zaidi.
 
Asante sana dia.......ila kuna kitu bado sijaelewa.

Chakula ni sehemu muhimu sana maishani...kwanza tunakula ili kushiba baadhi hawajali mapishi ilimradi tumbo lijae na wengine kila siku wanaongeza ubunifu kunogesha vyakula vyao mpaka wote wanaoonja wanafurahi.

Hii ishu ya "usawa" unaopelekea kina mama kufanya kazi sawa na kina baba..."uvivu" unaopelekea mama kubweteka wakati ‘dada‘ anaunguza jikoni..."umjini" unaopelekea wasichana wasijifunze kupika kwakweli vinachangia kuvunja mahusiano au hata kuyakoroga na kupunguza hamasa ya kula majumbani wa baadhi ya watu.

Unakuta mama akirudi kachoka dada ameshachemsha (korofisha kwa kiasi ajuacho yeye) "matabolo" huko kama mjomba wangu anavyoita chakula kibaya...au hata kama ana muda anaona uvivu kusimama/kaa jikoni akapikia familia yake...then wale wenzangu ambao hawakujifunza utotoni/ujanani hivyo hata akisema ajitahidi unakuta hajui nini kinachotangulia kati ya nyanya na hoho basi utamu wa chakula familia inaishia kupata siku wakiwa out...kwa ndugu na jamaa au siku mzee akijiopolea nyumba ndogo huko.

Wengine hata chakula kipendwacho zaidi na familia yake anajua ‘dada‘ na sio yeye.Fanya familia/ndugu/marafiki/mpenzi wako wakumiss kwa vitu tofauti tofauti ukiwa haupo au umezidiwa na kazi.Wape vitu zaidi vya kusema "natamani mama/dada/mke/mpenzi wangu ndo angekua amepika" au "natamani chapati za mama".

Nikiandika yote yanayocheza kichwani kuhusiana na hili jambo thread itakua ndefu watu fidenge waanze kulalamika so let me cut to the chase.Nataka kuwachalenge wadada /wamama wote hapa jamvini.Nna uhakika weekend wote mnapata vijisaa kidogo vya kupumzika...so. chukua lisaa limoja na nusu hivi au mawili uwaandalie ndugu/marafiki/familia/mpenzi wako chakula.

Kwa wale mnaingiaga jikoni kuangalia kilichopo kwenye sufuria tu usiogope jiko bwana...haliumi!!Kama wahitaji recipe ya kitu fulani unaweza kuuliza hapa hapa nadhani wajuzi wapo!
Kama ukifanya hivi feedback isikosekane...washangaze watu na mlo wa ukweli mpaka uulizwe "ULIKUA WAPI SIKU ZOTE...?"(Kwa hisani ya babu Asipirini)

Picha kwa ushawishi zaidi.....

Leo nimekula huo wali kuku wa kienyeji mtamu balaa!!

View attachment 32964View attachment 32966View attachment 32967View attachment 32968View attachment 32969View attachment 32970View attachment 32971View attachment 32965
Saint Anne njoo uone portion za zamani!☺️😁

Vincenzo Jr unanikumbusha vitu ambao hata sikua na idea niliwahi kuandika, na mengine hata sijui nilikua nafikiria nini.🙈🙈
 
gaijin na lizzy
chai ya maziwa yenye vanilla je????????
Hey The Boss 🙂

Nimeona hii nikajisemea ungekua karibu ningekupa zawadi, maana nilijaribu chai yako yenye vanilla sikuipenda.
20240318_214613.jpg
 
Chakula ni sehemu muhimu sana maishani...kwanza tunakula ili kushiba baadhi hawajali mapishi ilimradi tumbo lijae na wengine kila siku wanaongeza ubunifu kunogesha vyakula vyao mpaka wote wanaoonja wanafurahi.

Hii ishu ya "usawa" unaopelekea kina mama kufanya kazi sawa na kina baba..."uvivu" unaopelekea mama kubweteka wakati ‘dada‘ anaunguza jikoni..."umjini" unaopelekea wasichana wasijifunze kupika kwakweli vinachangia kuvunja mahusiano au hata kuyakoroga na kupunguza hamasa ya kula majumbani wa baadhi ya watu.

Unakuta mama akirudi kachoka dada ameshachemsha (korofisha kwa kiasi ajuacho yeye) "matabolo" huko kama mjomba wangu anavyoita chakula kibaya...au hata kama ana muda anaona uvivu kusimama/kaa jikoni akapikia familia yake...then wale wenzangu ambao hawakujifunza utotoni/ujanani hivyo hata akisema ajitahidi unakuta hajui nini kinachotangulia kati ya nyanya na hoho basi utamu wa chakula familia inaishia kupata siku wakiwa out...kwa ndugu na jamaa au siku mzee akijiopolea nyumba ndogo huko.

Wengine hata chakula kipendwacho zaidi na familia yake anajua ‘dada‘ na sio yeye.Fanya familia/ndugu/marafiki/mpenzi wako wakumiss kwa vitu tofauti tofauti ukiwa haupo au umezidiwa na kazi.Wape vitu zaidi vya kusema "natamani mama/dada/mke/mpenzi wangu ndo angekua amepika" au "natamani chapati za mama".

Nikiandika yote yanayocheza kichwani kuhusiana na hili jambo thread itakua ndefu watu fidenge waanze kulalamika so let me cut to the chase.Nataka kuwachalenge wadada /wamama wote hapa jamvini.Nna uhakika weekend wote mnapata vijisaa kidogo vya kupumzika...so. chukua lisaa limoja na nusu hivi au mawili uwaandalie ndugu/marafiki/familia/mpenzi wako chakula.

Kwa wale mnaingiaga jikoni kuangalia kilichopo kwenye sufuria tu usiogope jiko bwana...haliumi!!Kama wahitaji recipe ya kitu fulani unaweza kuuliza hapa hapa nadhani wajuzi wapo!
Kama ukifanya hivi feedback isikosekane...washangaze watu na mlo wa ukweli mpaka uulizwe "ULIKUA WAPI SIKU ZOTE...?"(Kwa hisani ya babu Asipirini)

Picha kwa ushawishi zaidi.....

Leo nimekula huo wali kuku wa kienyeji mtamu balaa!!

View attachment 32964View attachment 32966View attachment 32967View attachment 32968View attachment 32969View attachment 32970View attachment 32971View attachment 32965
Ulikuwa unaupiga mrefu
 
Back
Top Bottom