Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Namba mbili mi pia huwa inaniboaa sana yani mtu anakua ka yeye ndo alianzisha jf kumbe nae alikuta tu na akajiunga kama wengine wajiungavyo.

Watu wanajisifia kuwa wakongwe wakati ukiangalia michango yao haina hata chembe ya hekima na ushauri.

Sasa sijui ile tu kusign up kabla ya wengine ndio wanafikiri walihusika kuiprogram JF?
 
Wanaudhi wale wanaoleta chai tu ....
Jumatatu anaomba ushauri kuhusu mkewe......

Jumatano anaomba ushauri kuhusu mchumba wake

Alhamisi anaomba ushauri kuhusu mahusiano na wafanyakazi wenzake....

Jumamosi anaulizia boom litatoka lini maana amefulia....

Teh teh....
Wa chai wale wanakera mnoo...

Na wale wanaume wavulana
 
Watu wanajisifia kuwa wakongwe wakati ukiangalia michango yao haina hata chembe ya hekima na ushauri.

Sasa sijui ile tu kusign up kabla ya wengine ndio wanafikiri walihusika kuiprogram JF?

Ha ha hao wanajionaaga saana wakongwe fulan kaz kudis newcomers.
 
Wanaudhi wale wanaoleta chai tu ....
Jumatatu anaomba ushauri kuhusu mkewe......

Jumatano anaomba ushauri kuhusu mchumba wake

Alhamisi anaomba ushauri kuhusu mahusiano na wafanyakazi wenzake....

Jumamosi anaulizia boom litatoka lini maana amefulia....

This is so funny
 
Me nakerwa na members wanaoshangaashangaa vitu vya kijinga.... Mtu kapost post ndeeefu ye kaona Gari tu.

We need rich jf members.. Watupostie picha za snow huko na nyumba za ukweli, watupe ari ya kutafuta. We are tired of the poor members with poor sad thoughts all day long.
sijui kwanini shida na mateso ndo ukweli, na kinyume chake ndo sio real
 
Mnataka binadamu wafanane. Tunatofautiana kwa kila kitu.
 
jf kila mtu ana maisha mazuri na anamiliki gari ukimwambia tukutane basi atakukimbia mpaka ukate tamaa

Kwahiyo bwana ibra, na kuzaliwa kwako tangu 1987 huna hata kaVitz ka kuoshea nyota??
 
Back
Top Bottom