Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Salaam zenu,

Nikiwa mwana MMU mgeni lakini kwa kipindi nilichokuwa nikishiriki kwa kusoma na kuchangia thread mbalimbali kuna vitu vinanikera navyo na
1.Kuwa na thread nyingi zinazo wa shusha hadhi wanawake wakati ingekuwa vema kuweka zenye kuwajenga kimwili,kiroho,kiakili.

2. Kuna wana MMU wanajifanya wakongwe kwa kudai eti JF imeshuka hadhi au JF ya zamani haikuwa hivi bila kusahau dunia inabadilika.

3. Hawa wengine ni wale wanao toa ushauri wa kejeli kwa mtu bila kumjenga.
 
  • Thanks
Reactions: Art
Wana MMU wanaojifanya "classic" kumbe ni wa uswahilini tu.
sema shobo tu za nyuma ya keyboard.
 
Mimi wale wanaomba ushauri kwa jambo ambalo hata mtoto mchanga anaweza kuamua yeye mwenyewe ndiyo wanaonikera zaidi
eti mtu hata kwenda kufumania anaomba ushauri,dah...hivi ubongo ni wa kazi gani?

teeh teeh awo wana elimu ya darasani ya maisha imefail
 
wale wanaokuja na ID'S mbilimbili kuja kupimana imani humu
 
jf kila mtu ana maisha mazuri na anamiliki gari ukimwambia tukutane basi atakukimbia mpaka ukate tamaa

Hivi watu wa jf wanaolalamikaga wenzao wakitaja Gari ... Ina maana kwenye ukoo wenu hamna hata mjomba mmoja mwenye Gari!!!

The only way to fit in jf ni kuongea kama mswahili na kutengeneza picha za uswahilini/umasikini.

Mkubali si wabongo wote ni maskini.
 
Me nakerwa na members wanaoshangaashangaa vitu vya kijinga.... Mtu kapost post ndeeefu ye kaona Gari tu.

We need rich jf members.. Watupostie picha za snow huko na nyumba za ukweli, watupe ari ya kutafuta. We are tired of the poor members with poor sad thoughts all day long.
 
Mkuu hebu tangulia mbele ili tuance kuweka mada zenye mbuto.

Nasikia JPM hataku kulalamika tu. Ni hapa kazi tu.
 
wanaotoa thread ndefu kwa kithungu"
huku wanaelewa sio lugha rasmi ya taifa"

Sio lugha rasmi ya taifa? Wakt mikataba, katiba na vinginevyo huandikwa kingreza!!!! Tangazo la ajira pia
 
Back
Top Bottom