Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Wana MMU wanaojifanya "classic" kumbe ni wa uswahilini tu.
sema shobo tu za nyuma ya keyboard.

Kwetu hakuna hata mmoja anaemiliko aisee nipe mbinu aisee nami niutoe ukoo nuksi
 
Kuna kwa ukweli hapa ila utazoea tuu ndo hali ilivyo humu wengine wanajifanya very important people kumbe hamna kitu kabisa
 
Wana MMU wanaojifanya "classic" kumbe ni wa uswahilini tu.
sema shobo tu za nyuma ya keyboard.

Mkuu mainKempf, mbona huku kwetu Ushirombo pakawaida sana aiseeee.....
Zaidi ni mwendo wa kwenda shamba daily na kisim cha kuni update news hapa jf
 
Last edited by a moderator:
wale wanaokuja na ID'S mbilimbili kuja kupimana imani humu

Aiseeee.....
nliwahi nitokea nikatongoza jf, then baada ya muda mtongozwa akaniibukia kwa I'd nyingine aiseeee......
Hapo tu, ilitosha kuamini kwamba napotea njia. Nikaamua kujikataa aiseee
 
jf kila mtu ana maisha mazuri na anamiliki gari ukimwambia tukutane basi atakukimbia mpaka ukate tamaa

kwan siku hizi kumiliki gari ni kazi? Mbona hata ukiwa na 4mil unamiliki gari vzr tu
 
Watu wengine wana matatizo sana! Sasa hata kama mtu una maisha mazuri u-pretend una maisha magumu!!! Mtu ukimwambia unakaa tandale anaona sawa, ukimwambia unakaa masaki anaona unaleta shobo....Ukisema wakati unaenda kazini kwenye gari yako unaonekana unaleta shobo ila ukisema nagombania daladal a ndio sawa!! Huu ni uswahili

hahahaa! Ndio binadamu walivyo. Ukisema una gari mtu anaona unajivuna wakat wanaona barabaran magari yamejaa siku hizi hadi mikoan inaanzakufanana na dar kwa folen lakn watu hawajui kuwa wanaopishana nao barabaran wakiwa na magar ndio haohao waliomo hata jf
 
Exactly!!! Sijui ni mentality ya ujamaa au ni nini.
Jamani tuko kwenye ubepari, ongezeni ushindani acheni wivu na majungu.
Hivi hamna "bishoo" wa JF niSubscribe?

vijana hawataki kujisumbua wao wakisha maliza shule akiitwa likizo alikoolewa dada yake akiona asubuhi anapata chai,mchana msosi upo jion upo na labda shemeji yake akaamua kumnunulia smartphone basi kijana anajiona kamaliza kilakitu
 
Hivi watu wa jf wanaolalamikaga wenzao wakitaja Gari ... Ina maana kwenye ukoo wenu hamna hata mjomba mmoja mwenye Gari!!!

The only way to fit in jf ni kuongea kama mswahili na kutengeneza picha za uswahilini/umasikini.

Mkubali si wabongo wote ni maskini.

hata mimi ninayo tena zaidi ya mawili na hapa nimezungumzia kwa Wote na ni upuuzi kuamini wana jf wote wapo kama wewe na wanachokisema ni kweli.. Lakini kwa kuwa umeishi kwa kuriri na kuaminishwa uongo ndio maana umekurupuka kujibu hili. Ukweli Utakuweka Huru popote. Kumdanganya Mtu asiyekujua ni sawa na kuoga uchi hadharani huku ukiamini huonekani.. Toa upofu katila macho yako
 
Aiseeee.....
nliwahi nitokea nikatongoza jf, then baada ya muda mtongozwa akaniibukia kwa I'd nyingine aiseeee......
Hapo tu, ilitosha kuamini kwamba napotea njia. Nikaamua kujikataa aiseee

Pole mkuuuu
Cc ibra87
 
Last edited by a moderator:
Me nakerwa na members wanaoshangaashangaa vitu vya kijinga.... Mtu kapost post ndeeefu ye kaona Gari tu.

We need rich jf members.. Watupostie picha za snow huko na nyumba za ukweli, watupe ari ya kutafuta. We are tired of the poor members with poor sad thoughts all day long.

kila mtu ana Uhuru wa kuongea kile Anachokiona ni kero kwa Upande wake.

Hatupo hapa kucomment kile ambacho wewe unataka au unahitaji watu wakifanye.

Huwezi kukubali kila unachoambiwa... Bado unaujinga na Upuuzi wa kufuatilia kile ninachokifanya na kukiandika. Hapa kuna Watu walijiita wanakila kitu lakini mwisho wa Siku mtu aliwakimbia watu baada ya kukutwa sehemu Akibeba taka.

Acha upuuzi wa kuongea kijinga na kipumbavu, wengi wanavyo na huwaoni hapa wakijitangaza kwa kuwa wanavyo. Kazi kwako wewe unayeishi kwa kudanganywa. Kama Ni Nyumba wanazo lakini hawatangazi.. Siku Utakapoacha na Kujua kujisafisha katika Maneno yako utakuwa mwanamke wa kweli lakini kwasasa nadhani Bado unanukia taka
 
Back
Top Bottom