Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Hivi watu wa jf wanaolalamikaga wenzao wakitaja Gari ... Ina maana kwenye ukoo wenu hamna hata mjomba mmoja mwenye Gari!!!

The only way to fit in jf ni kuongea kama mswahili na kutengeneza picha za uswahilini/umasikini.

Mkubali si wabongo wote ni maskini.

Watu wengine wana matatizo sana! Sasa hata kama mtu una maisha mazuri u-pretend una maisha magumu!!! Mtu ukimwambia unakaa tandale anaona sawa, ukimwambia unakaa masaki anaona unaleta shobo....Ukisema wakati unaenda kazini kwenye gari yako unaonekana unaleta shobo ila ukisema nagombania daladal a ndio sawa!! Huu ni uswahili
 
Me nakerwa na members wanaoshangaashangaa vitu vya kijinga.... Mtu kapost post ndeeefu ye kaona Gari tu.

We need rich jf members.. Watupostie picha za snow huko na nyumba za ukweli, watupe ari ya kutafuta. We are tired of the poor members with poor sad thoughts all day long.

Thats my housegirl !!
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine wana matatizo sana! Sasa hata kama mtu una maisha mazuri u-pretend una maisha magumu!!! Mtu ukimwambia unakaa tandale anaona sawa, ukimwambia unakaa masaki anaona unaleta shobo....Ukisema wakati unaenda kazini kwenye gari yako unaonekana unaleta shobo ila ukisema nagombania daladal a ndio sawa!! Huu ni uswahili

Exactly!!! Sijui ni mentality ya ujamaa au ni nini.
Jamani tuko kwenye ubepari, ongezeni ushindani acheni wivu na majungu.
Hivi hamna "bishoo" wa JF niSubscribe?
 
Huku unakuta watu wa dizaini yote, unachukua ushauri au unasoma unachotaka na kuacha usivyotaka! Nafikiri tukiwa na kusifia tu positively, hatujengani! Kuna mengine unaponda ili muhusika ajue, uzuri humu hamna kukopeshana. Wachache wanajaribu kubbeleza ila wana lao jambo, wanatafuta nyamba mbichi.
 
Me nakerwa na members wanaoshangaashangaa vitu vya kijinga.... Mtu kapost post ndeeefu ye kaona Gari tu.

We need rich jf members.. Watupostie picha za snow huko na nyumba za ukweli, watupe ari ya kutafuta. We are tired of the poor members with poor sad thoughts all day long.

Kama nakuona vile...
 
Mapenzi daima chuki mwiko.

Sura yako muzuri mama,Aaaah, Muzuri mama,

Aaaah Muzuri mama, Aaaah Muzuri mama,

Tabasamu lako maua,Aaaah, Muzuri mama,

Aaaah Muzuri mama, Aaaah Muzuri mama,

Sura yako muzuri mama,Aaaah, Muzuri mama,

Aaaah Muzuri mama, Aaaah Muzuri mama,

Aaaah, Muzuri mama, Aaaah Muzuri mama,

Aaaah Muzuri mama,Aaaah, Muzuri mama,

Hahahahaa thanks NN
Wajua nimecheka nini, kuna clip ilikuwa inazunguka whatsapp ikiimba huu wimbo halafu video ilikuwa inatokea ya bibi wa kijacho kafunga kilemba huku anatafuna sijui mshindi au nyama ila hana meno mdomoni anavotafuna utacheka.

Shall we.....?
 
Yes, we shall.....
 
Back
Top Bottom