Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Mambo yanayoniudhi(kera) kwa wana MMU

Hahaha ibra87 anashangazwa kila mtu jf ana gari lakini na yeye ana zaidi ya mawili. Hahaha. Sasa ulitaka uwe nayo peke yako? Hahaha
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana Uhuru wa kuongea kile Anachokiona ni kero kwa Upande wake.

Hatupo hapa kucomment kile ambacho wewe unataka au unahitaji watu wakifanye.

Huwezi kukubali kila unachoambiwa... Bado unaujinga na Upuuzi wa kufuatilia kile ninachokifanya na kukiandika. Hapa kuna Watu walijiita wanakila kitu lakini mwisho wa Siku mtu aliwakimbia watu baada ya kukutwa sehemu Akibeba taka.

Acha upuuzi wa kuongea kijinga na kipumbavu, wengi wanavyo na huwaoni hapa wakijitangaza kwa kuwa wanavyo. Kazi kwako wewe unayeishi kwa kudanganywa. Kama Ni Nyumba wanazo lakini hawatangazi.. Siku Utakapoacha na Kujua kujisafisha katika Maneno yako utakuwa mwanamke wa kweli lakini kwasasa nadhani Bado unanukia taka
hata mimi ninayo tena zaidi ya mawili na hapa nimezungumzia kwa Wote na ni upuuzi kuamini wana jf wote wapo kama wewe na wanachokisema ni kweli.. Lakini kwa kuwa umeishi kwa kuriri na kuaminishwa uongo ndio maana umekurupuka kujibu hili. Ukweli Utakuweka Huru popote. Kumdanganya Mtu asiyekujua ni sawa na kuoga uchi hadharani huku ukiamini huonekani.. Toa upofu katila macho yako



Lol haya panda magari yako uende kwenu
 
kumbe wewe maisha mazuri ni kuwa na gari. polee mkuu

hembu soma Vizuri Hiyo Comment... Kila mtu ana maisha mazuri na Anamiliki gari. Hivyo ni vitu viwili tofauti.. Ana mali na la pili ni kumiliki gari... Wakati mwingine jaribu kuona aibu usijianike
 
Hahaha ibra87 anashangazwa kila mtu jf ana gari lakini na yeye ana zaidi ya mawili. Hahaha. Sasa ulitaka uwe nayo peke yako? Hahaha

soma Vizuri Comment yangu.. Nimesema kila mtu ana Mali na anamiliki gari.. Hivyo ni Vitu viwili, na ingekuwa gari ndio utajiri nisingetanguliza neno Mali.. Tuache kufikiria vitu kijuujuu tujaribu kuupa Ubongo kazi Ya Kufikiri.. Napanda gari naenda kwetu ndio.. Endeleeni kuongopewa tu
 
Last edited by a moderator:
Wanaudhi wale wanaoleta chai tu ....
Jumatatu anaomba ushauri kuhusu mkewe......

Jumatano anaomba ushauri kuhusu mchumba wake

Alhamisi anaomba ushauri kuhusu mahusiano na wafanyakazi wenzake....

Jumamosi anaulizia boom litatoka lini maana amefulia....
 
57' AFC Bournemouth 2
Manchester United 1
 
Back
Top Bottom