yaan hadi wanaboa et watt wamefungua shule
Wanaudhi wale wanaoleta chai tu ....
Jumatatu anaomba ushauri kuhusu mkewe......
Jumatano anaomba ushauri kuhusu mchumba wake
Alhamisi anaomba ushauri kuhusu mahusiano na wafanyakazi wenzake....
Jumamosi anaulizia boom litatoka lini maana amefulia....
Kwahiyo bwana ibra, na kuzaliwa kwako tangu 1987 huna hata kaVitz ka kuoshea nyota??
Na wewe unaboa kwa kuchangia kwenye hii thread ya watoto wa shule
Kwani shule yenu haijafungwa??
Hahahahah we mwanaune wewe....
Basi hazbendi sirudii tena....
Ila wewe unafanya nini huku???
angalia kijana unaweza ukawa unabishana na baba yako
Wife unamwona huyu mtoto hapa chini ananivunjia heshima mume wa ujana wako??
Mimi nakereka na the way wanaume wanavyotongoza, sera za kizamani kama CCM, hawana mvuto, hawaendi na wakati kabisa. Ebu jitahidini mje na mikakati jenga basi kidogo, halafu unaangalia unamtongoza nani, amepita wapi, ana uzoefu kiasi gani. msikurupuke mkajilaumu baadae. Badilikeni

mkuu sina Hata Baiskeli na Kama Huamini Muulize Mkeo BADILI TABIA ananijua in and out
Tuna pesa kuliko nyie siku hizi. What matters is upstairs mpendwa, kama bado unaongea pumba za kuku expect less.
Hembu Angalia Hiyo Quote Yako ilikuwa ni Sahihi hapa ama umependa jina langu ukaona uje kivingine? Unapotaka kuquote hakikisha jina la mtu.. Nani kakwambia Anashida na Mwanamke hapa
jf kila mtu ana maisha mazuri na anamiliki gari ukimwambia tukutane basi atakukimbia mpaka ukate tamaa