Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
kila mtu ana Uhuru wa kuongea kile Anachokiona ni kero kwa Upande wake.
Hatupo hapa kucomment kile ambacho wewe unataka au unahitaji watu wakifanye.
Huwezi kukubali kila unachoambiwa... Bado unaujinga na Upuuzi wa kufuatilia kile ninachokifanya na kukiandika. Hapa kuna Watu walijiita wanakila kitu lakini mwisho wa Siku mtu aliwakimbia watu baada ya kukutwa sehemu Akibeba taka.
Acha upuuzi wa kuongea kijinga na kipumbavu, wengi wanavyo na huwaoni hapa wakijitangaza kwa kuwa wanavyo. Kazi kwako wewe unayeishi kwa kudanganywa. Kama Ni Nyumba wanazo lakini hawatangazi.. Siku Utakapoacha na Kujua kujisafisha katika Maneno yako utakuwa mwanamke wa kweli lakini kwasasa nadhani Bado unanukia taka
punguza munkari jamani mweleweshe kwa upendo