Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,129
- 4,393
Kaenda kuchaji mitambo jipange kwa Vita uskae ukabweteka.Kitamboo mwezi wa nne
Kaenda kuchaji mitambo jipange kwa Vita uskae ukabweteka.Kitamboo mwezi wa nne
Hamnaga mie siwezi kufa bado nipo nipoKaenda kuchaji mitambo jipange kwa Vita uskae ukabweteka.
NdiyoHamnaga mie siwezi kufa bado nipo nipo
ASA kama una MTU unataka kushirikiana nae kwenye maisha iyo point no 1 vipi Na tunaelewa maisha bila campaign ni ngumu kutoka1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote.
2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako.
3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako.
4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa.
5. Kamwe usitangaze jinsi ulivyoelimika.
6. Usizungumze kuhusu akaunti yako ya benki na salio.
7. Usilete mambo yasiyomazuri ambayo umesikia huko.
8. Taarifa na mambo ya mpenzi wako.
9. Udhaifu wako.
10. Vipaji vyako.
Ikiwa habari hii imeweza kuongeza 1% ya thamani kwa maisha yako:
- Tafadhali ieneze
Kweli kabisa hapa pana siri nyingi wacha tu tufe nazoUsiruhusu mtu azijue nguvu zako za kiroho na vyanzo vyake