Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Mkuu angalia, performance haipimwi na wewe
Kaka confidence ndio mpango mzima. Kama ujiaminiamini lazima uuze mechi kila siku, halafu ukae ukijua sisi tunatoa msaada upande wa pili kwa 70% tu zilizobaki wajiwezeshe wenyewe. Ikitokea akiwa goigoi atashia kuwa kiburudisho mara zote.