Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Ujumbe muruhaa kabisaa nmependa nitauzingatia katika age hii ya 20s, shukran
" haswa hapa kweny hii haya...."
"Sometimes mwanamke anaweza kukuweka hapo kwenye friendzone kimkakati, unakuta anakupigia au anakutext kukujulia hali sasa hapa ukiwa fala unaweza kufikiri ameingia kwenye mfumo kwaiyo ukiendelea kuchombeza au kumfanyia wema atakukubalia, hapo unajidanganya, ukweli ni kwamba anakutumia tu ku-satisfy ego yake, labda na kukuweka karibu ili mbeleni akutumie akihitaji msaada wako."
HAPA UMEONGEA REALITY KABISA....
 
Ajira au pesa sio replacement ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke. There are lonely nights, warmth, love, care, pleasures, assistance from a man, money can't replace those moments
Au tuseme tu it's a human nature kwa mtu mzima kua na mwenza wake,kusaidiana,ku spend time together kama wapenzi kama marafiki, mwili mmoja..now narration inabadilika taratibu, kataa ndoa na hard working independent women
 
Ujumbe muruhaa kabisaa nmependa nitauzingatia katika age hii ya 20s, shukran
" haswa hapa kweny hii haya...."
"Sometimes mwanamke anaweza kukuweka hapo kwenye friendzone kimkakati, unakuta anakupigia au anakutext kukujulia hali sasa hapa ukiwa fala unaweza kufikiri ameingia kwenye mfumo kwaiyo ukiendelea kuchombeza au kumfanyia wema atakukubalia, hapo unajidanganya, ukweli ni kwamba anakutumia tu ku-satisfy ego yake, labda na kukuweka karibu ili mbeleni akutumie akihitaji msaada wako."
HAPA UMEONGEA REALITY KABISA....
Au akiwa out of options akwambie anakupenda kitambo muanze maisha
 
1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume.
Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex.

Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja kwenye maisha yako umtatulie matatizo yake, umfanyie kazi yeye aishi soft life, she is just a liability in your life.

Nini ufanye mdogo angu? Dhibiti tamaa na nyege zako. Hiyo ndio soft spot ambayo mwanamke ataitumia kama mbinu kuu kwenye mission yake.

2. Kila wakati anafanya scouting.
Hata kama umemuoa au umemchumbia, mwanamke wakati wote anafanya calculation ya dili la juu zaidi. Kwenye circle yake tayari kuna potential replacements wako.

Nini ufanye mdogo angu? Focus yako iwe kwenye kuitengeneza thamani yako. Ukiwa mwanaume mwenye thamani kubwa unakua na machaguo mengi. Akichomoa nawe unaangilia dili zuri kwenye optional list yako, maisha yanaendelea.

3. Kadili unavyoonyesha shauku ya kumtaka ndivyo anazidi kukushusha thamani.
Ukirusha ndoani ukaona hayupo interested na wewe basi achana nae. Futa namba yake, acha shobo nae, usimfanyie favor yoyote, mkikutana sehemu mchukulie kama stranger tu. Ukibaki kwenye friendzone na kuendelea kumpa attention unashusha heshima yako. Ukikataliwa na mwanamke unapoteza asilimia kadhaa ya heshima yako, sasa hapo una machaguo mawili uendelee kuwa simp king'ang'anizi upoteze na izo asilimia zote zilizobaki au umwondoe kabisa kwenye circle yako urudishe zile asilimia ulizozipoteza.

Sometimes mwanamke anaweza kukuweka hapo kwenye friendzone kimkakati, unakuta anakupigia au anakutext kukujulia hali sasa hapa ukiwa fala unaweza kufikiri ameingia kwenye mfumo kwaiyo ukiendelea kuchombeza au kumfanyia wema atakukubalia, hapo unajidanganya, ukweli ni kwamba anakutumia tu ku-satisfy ego yake, labda na kukuweka karibu ili mbeleni akutumie akihitaji msaada wako.

Validation na admiration anayopata mwanamke kutoka kwa masimp ataitumia kama karata ya ku-negotiate dili kwa wanaume wa taste yake. Respect yourself, don't be a pawn in her games.

4. Mwanamke akiwa na standard anajithamini, mwanaume akiwa na standard ana chuki.
Kama mwanamke akisema anataka mwanaume mtanashati na mwenye future nzuri au stable income, jamii itampigia makofi kwamba anaijua thamani yake. Mwanaume ukisema unataka mwanamke mtiifu na bikira, utaambiwa una chuki, una mawazo ya kizamani. Utauliuzwa mama ako aliolewa akiwa bikira?

Nini ufanye dogo? Usiruhusu masimp na damaged women wakudanganye. You didn't hustle to end up with over-used and traumatised woman. If you decide to settle go for a young, virgin and feminine woman.

5. Kwa mwanamke mapenzi ni fursa.
Upendo wa mwanamke ni feki, ni wa kibiashara zaidi. Kama mwanamke angekua na upendo real wangewapenda wanaume masikini au wasiokua na status yoyote, lakini wote tunashuhudia jinsi wanavyowadhalilisha..

Nini ufanye? Kipaumbele chako kiwe michonggo yako. Security anayopata mwanamke ndio maintanance ya mahusiano, sio upendo wake kwako. Ukimpoteza mwanamke maokoto yatakupa mwanamke mwingine, ukipoteza maokoto mwanamke hawezi kukupa maokoto vile vile atakuacha na kwenda kutafuta security kwingine. Now days male is not a gender, it's financial status.

6. Prime phase ni villain, declining phase atajifanya victim.
Akiwa 16-25 ataishi reckless. Siku hizi kisingizio chao wanadai wanapigania ndoto zao wakati kiuhalisia wanachokitaka ni uhuru wa maisha ya kufanya umalaya, ufuska, anasa na mitoko ya usiku bila kuwajibika kwa yoyote.

Nafikiri wote tumeona video za watoto wa kike wa sekondary wakicheza kihasala hasara baada ya kumaliza mitihani ya form 6, sasa yale ndio maisha wale mabinti wanaenda kuyaishi mtaani na mtandaoni kipindi cha takribani miaka 10 kwa kisingizio wanapigania ndoto zao. Huku wakipewa ulinzi na mafeminist, jamii na wanaharakati wanaojinasibu wanatetea haki za wanawake.

Akifika 30+ atajibrand kwa kusema sasa amepevuka kiakili na yupo tayari kuolewa. Ndoto aliyodai anaipigania kwenye prime phase hajafanikisha chochote. Hapa atawachafua maex wake na mzazi mwenzake(kama ni single mother) ili yeye aonekane victim and innocent. Guess what? Jamii ilie ile iliyowalinda wakati wanafanya ujinga itawasafisha na kuwapa presha wanaume kuwapokea na kuwaoa hao wanawake.

Nini ufanye? Judge a woman harshly and ruthless based on her past. Mdogo angu usikubali kuwa retirement plan

7. Mwanamke anaongozwa na hisia, sio tafakari ya kimantiki.
Unaweza kumnunulia abaya ya 300K halafu akaku-cheat na mwanaume ambaye amemsafia iyo abaya imempendeza.

Nini ufanye? Cheza na hisia zake huku ukiwa unalinda masilahi yako.

8. Damaged woman haitaji uwe mkombozi wake.
Wanawake walevi, wadangaji, wavaaji mavazi yasiokua na heshima na wote wenye mienendo ambayo haiendani na maadili ya mwanamke wa kiafrika wote wanaingia hili kundi. Ukikutana na mwanamke wa hivi usipoteze muda kutaka kumbadilisha, iyo kazi ilitakiwa kufanywa na wazazi wake. Huyu haitaji wewe umuokoe anachohotaji ni mchango wako kwenye lifestyle yake.

Nini ufanye mdogo angu? Usiweke malengo nae, usitumie nguvu wala jitihada zozote kutaka kumbadilisha. Fanya kilichokupeleka kwake maisha yake mwachie mwenyewe. Wewe piga, kata, funua mfanyie michezo yote anayoitaka, mpe hivyo vijisenti ambavyo haviathiri bajeti yako. Ukishamtumia vya kutosha mteme. If you can't contribute in spoilling her, then avoid her from the first place. Don't play a therapist's role.

9. Hajali kuhusu sacrifices zako.
Jinsi unavyojitoa na kuwa mwema kwake ndivyo anazidi kukuona mjinga, na ndivyo atazidi kukutumia kimasilahi. Kujibana kutaka kumfurahisha au kumridhisha mwanamke wakati wewe ndie mwekezaji mkuu kwenye mahusiano hii ni sawa na kufanya interview ya ajira ambayo unaitoa wewe mwenyewe. Stop that nonsense, you're an interviewer not interviewee.

Nini ufanye? jipe kipaumbele mwenyewe, usiwekeze kwa mwanamke. Don't build your life, happiness and purpose around a woman. Always remember nice men will get used, ruthless men will get respected.

ZINGATIO; Ukipata mwanamke bikira, mtiifu na anaishi katika uhalisia wake, mtunze fanya nae maisha.

Don't be a simp.
Mkuu, mimi nilipata mwanamke bikira pia anaishi kwenye uhalisia wake, ila alikuwa anataka nimuoe kwasababu amechoka kukaa kwao means anabanwa sana kwao..pia
Alikuwa mbishi
Mwenye dharau
Majivuno
Jeuri na mpenda mashindano

Kumuacha nimekosea?
 
Back
Top Bottom