Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Baada ya kuingia kwa Dr. (Agemate wake marehemu baba yangu)
Dr.Iwe.: Karibu mrembo, nini tena?
Me: Shikamoo Dr
Dr Iwe: eeh shida gani?
Me: najisikia dhaifu, kichwa na shingo vinauma.
Dr Iwe: una mimba?
Me: hapana
Dr Iwe: huwa unachukua tahadhari?
Me: mmh (ukimywa kdg) ndio.
Dr : hivi una mtoto mmoja au wawili?
Me: mmoja
Dr: anasoma eeh? Umeinvest kwenye education yake? Hasa books? Hakikisha anasoma sana, magazines, novels etc. mimi nasoma sana na watoto wangu niliinvest sana.
Me: I can see, vitabu na volumes nyingi sana.
Dr: hivi ulishanunua iPhone 5, mimi bado ninayo iPhone 3.
Me: hapana
Dr: unamjua binti yangu wa marekani? Sio kwamba ana akili sana lkn niliinvest sana kwenye vitabu na .......(nikapewa sifa za Koku wee, nikaoneshwa picha n.k for good 5 mins)
Baada ya hapo ndipo nikaandikiwa kucheck Malaria. Nilivyorudisha majibu ya NPS nikakaribishwa na pamoja na ushahidi wa journal sijui ya deans ya boards ya madaktari wa US with jina la daughter highlighted na more picture lkn na explanation kwanini anakunywa sana black coffee.
Anyway, the guy (Dr) is old na nafikiri angeacha kupractice maana anaenjoy kupata audience ya kumsikiliza accomplishment zake kuliko kusikiliza wagonjwa. I am sure muda nilioutumia angeweza kuwaona wagonjwa wengine 5.