Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Leo nimeusikia wimbo wa "Nothing gonna change my love for you" nikakumbuka sana swala la DEDICATION wakati ule tunatumiana Barua secondary.

Ebu tukumbushane wimbo au nyimbo gani ulipenda sana kuziandika kama dedication kwa PENIPAL wako a.k.a mpenzi wa secondary

Binafsi namkumbuka binti mmoja pale kilakala, wakati nikiwa VIAPAJI MAALUMU (NARUDIA VIPAJI MAALUMU) MZUMBE nyimbo nilizomdedicate hasa ni;

Nothing gonna change my love for you - George benson
careless whisper - George Michael
computer love - zapp n rogger
(kimsingi nilikua sijui maana hasa ya neno computer, ila nilipenda tu neno LOVE, na bit za wimbo huo)

Hebu tujuzane sasa
Dah!kuna cku nilishamdedicate shemeji yako kipindi icho mi nipo Kantalamba yeye Kindwitwi Sec Rufiji ule wimbo wa 'Mambo kwa sox' wa Dk. Remmy(PKA),alifurahi sana akanambia"unaonekana unajali"
 
Salome ya diamond,,, baada ya dem wangu kunipa mzigo kwa mara ya kwanza
 
Sitaki hata kuwaza nlipokeaga kichapo sana enzi za barua, sijawahi kusahau....
Hahahaha..............pole sana zamani kuna shule ambazo barua inasomwa kwanza ndio ikufikie especially shule za dini.
 
Real love by Massari
Lakini kuna siku nilipokea barua shule sitasahau.
Kama unavojua shule za boys ukipata barua kutoka demu wako basi bweni zima wanakua wageni wako.
Sasa siku hivyo nikawaambia subirini niisome halafu nitawapatia muone maneno matamu kutoka kwa Shem wenu, ile kuifungua dah! Maoigo ya moyo yakaongezeka kwani sikuamini nilichokua nakisoma, nilikua ni "KIBUTI" halafu dedication ule wimbo wa HAMA Q "Nilizani unanipenda"
Aisee nilichoka hata washkaji sikuwapa wasome sababu nilishavurugwa.
Hahahaa m nlkua nalala nazo kitandani apo washkaj macho yAnawotoka wanataman engekua wao hahahaa dooh nlkua nmeztunza kibaooo kila siku lazima nlkua nzisome hapo zmechorwa makopa kopa ya kutoshaa.......
 
Dah!kuna cku nilishamdedicate shemeji yako kipindi icho mi nipo Kantalamba yeye Kindwitwi Sec Rufiji ule wimbo wa 'Mambo kwa sox' wa Dk. Remmy(PKA),alifurahi sana akanambia"unaonekana unajali"
Kantalamba ulisoma mwaka gani Mkuu?
 
Latifah By MB dog.. niliwahi kuidedicate kwa mke wa mtu. Kilichotokea sitasahau
 
Thats Roxette, umenikumbusha mbali sana na kunifanya nikawaza kitu nnachowazaga at times.

It was my only very fist girlfriend "Hellen" who dedicated it to me tukiwa form one wote tena desk moja mbele kabisa, tulikuwa tunapendana hadi tunasahau kula sometimes mchana tukiwa pamoja huku akinichorea picha za bwana na bibi harusi nyuma ya madaftari yangu.

It was basically a swedish christmas song, na December kuna mmama volunteer wa kiswedish alikuja shuleni na alikuwa anatuimbia huku akituambia

"One day you might marry each other"

That Mum travelled to her country.

Hellen died by car accident in Dsm akiwa na baba yake tuliletewa tu taarifa shuleni.

Umenikumbusha mbali sana na kunifanya nikawaza mengi

It was my only very fist girlfriend "Hellen" tukiwa form one wote, tulikuwa tunapendana hadi tunasahau kula mchana tukiwa pamoja.

She unfortunately died by car accident
 
Pole sana Mkuu Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Hellen mahali pema peponi. Huu ni moja ya wimbo katika Truck ya Pretty Woman movie ambayo niliipenda sana na hadi hii leo naipenda sana. Ni movie ambayo nimeiangalia mara nyingi kuliko movie nyngine yoyote ile. Huu wimbo pia naupenda sana. Pole sana.

Shukran.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watu tunatoka mbali sana... Unfortunately nimezikumbuka kumbukumbu zote za zamani...
 
Back
Top Bottom