Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Kingereza kilikuja na ndege kwakwel
Toa tujino twako tuchafu alafu hatujapangwa vizuri!!!@#!*#!
SimfahamuBashite
Unapozi na mashine! Alikuwa location au?
Duhh, jamaa alipenda huo mpakato
Alafu tusiangalie wakina Denzel Washington..Mzee Rambo na wakina Tornado...
Hahaha utasababisha wenzako wafe njaa..Bongo bwana, yaani huyu naye ni gaidi ama staa? Nako kaliandamana ili tununue sinema zake uchwara? Hata iweje, sinunui Bongo movie ng'ooo.
...akimaliza kufanya uharamia wake ndani akitoka nje atainama tena na kuvaa viatu vyake ndo asepe.... kazi ipo

Script sasa
Hahaha kwakwelHapana chezeya kidhungu![]()
![]()
![]()
![]()
Majambazi ya koromije huwa yanaheshima yanakusalimia vizuri tu kabla hayajakukaba yakishakukaba yanakuaga na kukutakia siku njema
Kingene wanachosema kwenye bongo movie jini kama linataka kuvuka barabara linaangalia kushoto na kulia lisije kugongwa na gari
mkuu hiyo kali![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mkuu hiyo kali
![]()
ndo maana sipendi kuangalia bongo movie, na mheshimiwa ndo anataka tuangalie kwa nguv bila kupenda