Mambo ya bongo movie hayo

Halafu angalia macho yake kwa umakini,kweli jambazi anamlenga mtu kwa risasi halafu macho yake yanaangalia kwingine?
Hahahaaaaaa

Acheni tu nifanye birthday ya kutimiza miaka 7 ya kuangalia series za Kikorea na siziachi.
Series gani inabamba sasa hivi? Nishaachana na huo ujinga siku nyingi sana
 
Si mchezo jamani jambazi kavua viatu mlangoni View attachment 4
Majambazi ya koromije huwa yanaheshima yanakusalimia vizuri tu kabla hayajakukaba yakishakukaba yanakuaga na kukutakia siku njema

Kingene wanachosema kwenye bongo movie jini kama linataka kuvuka barabara linaangalia kushoto na kulia lisije kugongwa na gari
 
Halafu angalia macho yake kwa umakini,kweli jambazi anamlenga mtu kwa risasi halafu macho yake yanaangalia kwingine?
Hahahaaaaaa

Acheni tu nifanye birthday ya kutimiza miaka 7 ya kuangalia series za Kikorea na siziachi.
Tutakukamata tuu,na tunaanza msako wa nyumba kwa nyumba kusaka hizo video za njee,(in bashite voice).viva koromije vivaaa
 
18010581_1665235677116282_6489931195525504100_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom