Mambo ya bongo movie hayo

Mambo ya bongo movie hayo

Acha mi nianze kuangalia bongo movie nidumishe uzalendo huenda ntazipenda.
 
Jambazi lilikua linamwangalia anaeshoot na sie anaemlenga, Maajabu ya Koromije Division zero ameshikilia nchi.
 
ilimlazimu kunyata mkuu
ndo maana akaamua kuput off shoes....
ila duhh....!!! tunasafari ndefu...
...akimaliza kufanya uharamia wake ndani akitoka nje atainama tena na kuvaa viatu vyake ndo asepe.... kazi ipo
 
Back
Top Bottom