MAHENGE JR
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 497
- 632
Si mchezo jamani jambazi kavua viatu mlangoni
Umemnukuu nani akisema movie zingine zizuiweNdio wanataka movie za nje zizuiwe tuangalie zao, kwangu wamechemuka kabisaa...
Unapozi na mashine! Alikuwa location au?
Si mchezo jamani jambazi kavua viatu mlangoni View attachment 498832
niliacha zamani kuangalia hizi movieSi mchezo jamani jambazi kavua viatu mlangoni View attachment 498832
niliacha zamani kuangalia hizi movieSi mchezo jamani jambazi kavua viatu mlangoni View attachment 498832
Haya mashudu anaweza kutazama Bashite tu.