[emoji1] [emoji1] [emoji1] jini linaogopa kugongwa gariAfadhali ya hizo mie nimewahi kuona Jini anamfukuza mtu aaf kwenye taa za barabarani akasimama ili asigongwe na gari baadae huko mbele jinni akachoka ikabidi akodi bajaji ili aendelee kumkimbiza binadamu. Duuh nikazima na TV yenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahaaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1]Jambazi mstaarabu sana hajataka kuchafua nyumba ya watu [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Afadhali ya hizo mie nimewahi kuona Jini anamfukuza mtu aaf kwenye taa za barabarani akasimama ili asigongwe na gari baadae huko mbele jinni akachoka ikabidi akodi bajaji ili aendelee kumkimbiza binadamu. Duuh nikazima na TV yenyewe
Hahaha utasababisha wenzako wafe njaa..
Prison break season 5, imeendeleaje baada ya sheikh of light kufika town.Acheni nibaki Korea,China na Marekani
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Si mchezo jamani jambazi kavua viatu mlangoni[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] View attachment 498832
[emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84]