Mambo ya bongo movie hayo

Me hua nashindwa kuelewa.
Unakuta MTU mmoja yeye ni
1.director.
2.location manager.
3.editor.
4.starring.
5.mtunzi.
Sasa hapa ubora utatoka wapi.

Pia unakuta movie yenyewe washiriki wake ni wanne tu.
Jamani kumtazama MTU mmoja movie nzima inachosha sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom