Mambo ya ajabu niliyoyaona Msumbiji (Mozambique)

Ubaya wao wanawapenda sana Dada zetu sijui ni kwa nini,asilimia kubwa ya polisi wa mipakani wameolewa na hawa jama,wanaitwa Guardfrontera,Mimi mwenyewe mabinti wangu watatu wameolewa tena na mabosi.Mabinti hawakuwahi kuwa na ndoto za kupanda pipa sasa hivi ni nyenyerere report Pemba nampula maputo
 
Nliwahi kumuuliza mtu mmoja alikuwa naishi south Africa yeye hutumia usafiri wa Bus south to Tz mbona mnazungukaga, uende Zambia, Zimbabwe then SA si mpite tu Mozambique hiyo ndio iko karibu South Africa.

Akanambia Police wa Mozambique ni wakali na wanapenda Rushwa utasumbuliwa border na njiani hata Kama unavibali vyote Border wanaweza kukuzuia usiingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uwezo wa kukuzuia kuingia inchini mwake ni uhamiaji sio polisi,na uhamiaji wanapokuzuia kunasababu zake, labda unaingia inchini mwao huna barua ya mwaliko unakokwenda,yaani huna ndugu huna pesa yaani pocket money hapo hata kama unapaspoti lazima uzuiliwe.Lakini kama unavitambulisho vyote kwa nini wa kuzuie,labda ukatae kutii Shelia zao,mfano unaambia usachiwe hutaki unategemea nini,na mala nyingi border zinakuwa kalibu kama wamekuzingua ludi kwenye border yako ukalalamike lazima watawapigia simu wajue kunanini,watu wa uhamiaji border huwa hawakubali raia zao wanyanyasike. kwa pande zote mbili,mfano uko Tunduma border unanyanyasika Nakondende au kasumulu upande wa Malawi au congress border upande wa Mozambique. Wakati mwingine labda huna vasinetion card sasa unatarajia atakusaidia nani,hapo bila kutoa rushwa hawawezi kukulusu kupita
 
Mfano ukichukulia ile ishu ya Montepuezi kulikuwa na watanzania zaidi ya 3000,bila kuesabia wawest Africa na wathailand,kalibu wote hao walikuwa hawana vibali,hapo ni kuanzia Mama ntile,wachimbaji ambao ndilo liliokuwa kundi kubwa,Waliokuwa na vibali ni Madigala wanunuzi ambao ni kundi dogo.Unajua jinsi walivyokuwa wanaingia,yaani mtu akishagongewa paspoti ndogo ile inayoitwa Imergency Travel Document anaichana maana yake anazamia,na selikali ilikuwa inajua maana yake walikuwa wanakula na selikali ya wiliya,ikitaka kutokea ambush wanachanga Hera wanawapoza viongozi,Sasa mgodi ulimpata Mwekezaji na wakaambiwa mapema mludi kwenu,wao wakajua mambo ndiyo yaleyale ya kila siku.Wawest na wathailand waliondoka zao sababu wanamitaji na vibali,baadhi ya wabongo wenye vibali wakagoma sababu wamejijenga wana mapabu hotel magari,hawakujua term hii ambush inatoka Maputo,askari wakaingia kazini si unajua polisi wanapokuja kuthibiti watu wenye pesa,kwanza walianza na madigara sababu wanawajua wanapoishi,lakini kama wangeondoka mapema wasingeondo,kwa faida yako msomaji wamozambique hawafanyagi kazi nzito ni marezy sana,wachimbaji ni wabogo kiasi kwamba hizo sehemu za machimbo lugha inayotumika ni kiswahili na mala nyingi na pesa inayotumika ni shilingi,Yaani hata selikali ikikusanya ushuru inakusanya kwa shilingi ndio wachenji miticals,Tusema ni Tanzania ndani ya Mozambique,polisi wenyewe huwa wanajikuta inawalamu kujua kiswahili wanaolinda hizo sehemu za machimbo
 
Na wale wanaingiaga kwetu na kuua ni kina Nani na Nini dhumuni lao mie nataka kuja kutesti maisha huko niuze nguo Sasa hii habari inanitisha Sana na kukatisha tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitaka kuja huku usipite cabodelgado wala Pemba huko hakufai wenye inchi wenyewe wanaogopa kunamapigano ambayo siri yake wanajua wenyewe,wewe pitia songea,Congress lichinga,hapo utajua mwenyewe unaenda wapi kama nampula au maputo
 
Unajua unaposema inchi ya kipumbavu hakuna dili inategemeana na wewe unafanya dili gani,mfano kunamafundi wengi tu hapa wabongo wanatengeza sofa,kunawatu wanapiga Hera sababu ya kupiga bati kama za kibogo,ukija upande wa kilimo huku wewe lima hakuna haja ya mbole, ardhi yako haijachoka kama bongo,kuna kijana mchaga amejifunguria green house anapiga hela,ndiyo tunavyoishi huku inabidi uwe mbunifu,kwa mfano wao wanashindwa kufuga kuku wa mayai au kuku wa kisasa hivyo vitu mpaka vitoke inje ya inchi
 
Unaandika uongo hadi unatia kinyaa,..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Back
Top Bottom