HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,553
- 48,152
BLAZA nawe mbishi sana.
Hawa ndiyo wanajeshi hata sare nzuri hawanaView attachment 1374179View attachment 1374180View attachment 1374181
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah hiyo sana tu kwa kabila hapo na ilo RPG sebene likichanganya la jibe mpiana anakula mayenu km kapagawa bana we usiombe kifyatulio kifunguke mtatafuta på kutokeaHahahahha niliwahi kumuona mwanajeshi kajitwika RPG uku mguuni ana ndala
Sent from my iPhone using JamiiForums
Buru Swahili language 🙂Aah hiyo sana tu kwa kabila hapo na ilo RPG sebene likichanganya la jibe mpiana anakula mayenu km kapagawa bana we usiombe kifyatulio kifunguke mtatafuta på kutokea
Unamaanisha kasumulu?Mwaka jana nilifika boda ya Malawi na Tanzania (Kamusulu) upande wa Tz kuna uafadhali kidogo kule Malawi wenyeji waliniambia walikua hawajengi nyumba nzuri pamoja na kuwa na hela wameanza siku za karibuni ila sikujua tatizo ni nini mpaka inakua hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipo baadhi ameongea ukweli,Mimi nimefika msumbiji kama Mara nne hivi by road hata kwa angani ila nimeishia miji ya kaskazini yaani msimbwa demplaya,chai,mutipweshi,Pemba hata Nampula.Ndugu Yangu umezidisha chumvi,Niko hapa msumbiji toka 1997 Rais akiwa chissano.naijua vizuri msumbiji,Huku hatuzumgumzii wanawake weupe sema makaradi,mchanganyiko wa Wareno na Waafrika.Kumbuka hapa Mreno amekaa miaka 500 na lengo lake alikuwa anataka akiangamize kizaza cha mtu mweusi,kwa hiyo formula waliokuwa wanaitumia kama wewe mwanaume wa kileno popote ulipo ni kuzalisha tu awe Binti au make wa mtu.Kiasi kwamba kunamakaladi wengi sana,na hawa mabrack bado wanachembechembe za damu nyeupe.Familia nyingi zina undugu pande mbili Ureno na Mozambique,yaani mfano hai mreno aliyekuja mwaka 1900 kuja kufata pembe za ndovu,zahabu na mbao kule ureno aliacha mke na watoto,alipofika hapa akaowa mwanamke wa kiafrica , kwa hiyo unakuta Ureno na mji na Mozambiki ana mji,lakini wengi walibezi kwa wanawake wa kiafrika.Hawa nao wanawake walikuwa wakishapata watoto wanawauwa mabwana zao kwa ushirikina ili wabaki na mali,na upande wa wanaume wa kireno wao w alikuwa wanathamini watoto zao,kuliko mama zao,hata kama ana Mali mfano dhahabu atachimbia chini anamuita kwa siri bila mama yake kujua kwambi nakuachia Mali hii ukiwa mkubwa itakusaidi.nazani naishia hapa niulize chochote kuhusu mozambique
Lichinga kijijin? Nampula je? Pemba je?steve_shemej,
Tatizo watu mnapata bahati ya kusafiri nchi jirani, mkifika huko mnaishia vijijini na kuja hapa kutoa conclusion ya nchi nzima. something is wrong somewhere!
Esse tipo de uniforme que você mandou as fotos deles não são da agora há um tipo assim que estão utilizar mas não são esses que nos mostrou.
Sasa Tanzania ipo juu kivipi ? kama umeme wa rea unagawiwa kisiasa, maji hakuna, huduma za afya mbovu, tuko juu kivipi ?, au tunawazidi kwa kuteka na kuua wapinzani wa serikali ?.Kimaendeleo Tanzania ipo juu walichotupita ni umeme mpaka vijijin ndani kabisa alafu wanafunzi wajawazito wanaenda shule
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipimo na dawa kwa shilingi 200/= au sijakuelewa vizuri ulivyoandika?Ninachopingana na mtoa maada ameiongelea vibaya sana Mozambique,tofauti na jinsi wengine tunavyoujua ukweli,kimaisha kwa upande wangu kumetofautiana sana na Tanzania,huku Elimu bure,upande wa afya nayo tuseme ni kalibu na bure,kitu cha kawaida kwa maradhi yetu kama malaria ukatibiwa kuanzia vipimo mpaka dawa kwa shilingi 200 mia mbili ya Tanzania.Upande wa Magereza nako wako vizuri,huku ukifungwa unatoka umenenepa utapata Milo yote na utalala vizuri,na kama una mke kila jumamosi mke wako anakuja kukuhudumia kwa tendo la ndoa
😂Mkuu vp swala la usafiri wa daladala? Na wao wanawahi kuweka kifuko au begi dirishani ili ahawahi siti?
Na wanao pia wangeolewaHiyo ikuje na huku basi.......
Wabongo tengeowa mabint wote wa shule..
Mkuu,Hiyo ni kwa matibabu yote kuanzia kumuona dactari,vipimo vyote na kuchukua dawa,unalipa 200 ya Tanzania.Wageni huku hatubaguliwi kwani Viongozi wao kalibu wote wamekaa Tanzania kipindi cha kupigania Uhuru hata huyu Raisi wao amezaliwa Tanzania,Wabongo wengi huku wameolea wanaishi poa tu,ingawa kunachangamoto kubwa sana kuishi na wanawake wa kimozambique,kwanza lazima kuishi kwake sio yeye aje akae kwako.na wanaishi kifamili sana yaani huku kukaa Nyumbani kwa wazazi wako ukao na mwanamke akawa anaaka hapohapo hamna tatizo.