kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Msumbiji wapo milioni 29 wana umeme mwingi megawatts 187000 (laki moja na elfu 87) sisi tupo milioni 62 tuna megawatts 1500 tu aibu gani hizi?
Miaka 60 ya uhuru megawatts 1500 tu? Angalieni Kenya,Zambia,msumbiji na Ethiopia umeme walio nao
Sisi ony 1500 megawatts ndo ziwashe nchi nzima na nchi iwe ya viwandaWatu wamekaa tu maofisini na Vitambi haki ningekua rais wa hii nchi kuna watu wangefungwa mpaka wangezijua harufu zote za jela!!Hatupo serious
Halafu anaibuka mtu mmoja hatihati huko anajiropekea kuwa eti miaka 60 ccm wamefanya makubwa!!Makubwa yapi hayo?
Only in Tanzania!!Kuna saa najiulizaga watanzania waliumbwaje au walitokea dunia gani nakosa jibu!!Hivi mnajua hapa duniani sisi kama nchi tunasindikiza tu?
We can't be serious hata kidogo. Dira yao 2025 inasema tz itakua nchi ya viwanda na uchumi wa kati mkubwa sio huu wa mchongo wa dola 1037 ambao hata Somalia wakiwa serious miezi 6 tu wanaingia.
Viongozi wa ccm shame on you Guys!!Mnachojua ni kukaa kwenye ma-v8 tu na kutisha wananchi, na kupora mali za umma!! Hii nchi wapewe wazungu tu au race nyingine ccm ni mafailure.....
Megawatts 1500 tu ni uzembe mkubwa ingekua nchi nyingine watu washanyongwa na kupigwa risasi kwa uzembe!! Tena huyo January wenu na mwenzie maharage wangekua ni viongozi wa huko China sahv tungekua na "kumbukumbu ya miaka kadhaa imepita na majina yao tu".
Hii nchi inaitia aibu sana!!