Mambo ya ajabu niliyoyaona Msumbiji (Mozambique)

Katika nchi za ajabu na mbaya kwa maisha ya binadamu huenda Msumbiji ni namba moja

Msumbiji ni nchi ambayo wananchi wake wana kumbukumbu za vita mpaka leo imefikia hatua watu wana pesa wanaogopa kujenga nyumba wanahofia nyumba.

Leo ukienda Msumbiji hata uwe na visa na passport lazima utembee na rushwa mfukoni maana ukikutana na Askari wa kule vibali sio msaada lazima utoe pesa.

Msumbiji endapo utazaa mtoto na mwanaume au mwanamke wa Msumbiji siku ukitaka kumleta Tanzania haiwezekani hawakuruhusu labda uende Maputo ukapande ndege mipakani huvuki.

Msumbiji wana uhaba wa wanawake weupe. Kama una mwanamke mweupe ukienda naye sahau kurudi naye.

Msumbiji hawana utaratibu wa kutumia gari mpaka unafanana nalo likichoka kidogo linawekwa pembeni wajanja wa Songea huku wanaenda kuyakusanya wanayabeba kama chuma chakavu wanakuja kuyaunganisha huku Songea wanapiga hela

Pia kuna fursa ya biashara ya baruti za kupasulia mawe ukinunua za Tsh million moja ukizifikisha maeneo ya Congress au Lichinga ndani ya Msumbiji unauza mpaka million nne ila changamoto ni jinsi ya kufikisha eneo husika.

Msumbiji kuna mambo mengi ya ajabu pia ya kuhuzunisha ila kesho nitakuja kuwaelezea fursa zilizopo Msumbiji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Apo kwenye rushwa aisee for the first time nafika mji mmoja unaitwa Pemba sitasahau wale jamaa wanaomba rushwa wazi kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waliochanganya rangi wanaitwa mullato halafu nyumba nyingi zinamilikiwa na wanawake wamerithi kwa waume zao halafu kwa starehe ndio zao wanapenda kulewa Sana sio ajabu mume kutoka ijumaa kurudi juma tatu pesa yao Ina thamani ila ila uhenyeke uipate mademu hawana tabu pesa yako tu wazee wa bia Kuna bia zao maarufu Kama manica Impala na 2m ita dosh m miji yao haija jengeka ukiondoa maputo na kidogo beira barabara mbovu Sana mwanafunzi akipata mimba akizaa anarudi shule makabila maarufu wamakonde wamakua wamashangani wamwani

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna Nampula mkuu provincial ipo poa sana ile

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika nchi za ajabu na mbaya kwa maisha ya binadamu huenda Msumbiji ni namba moja

Msumbiji ni nchi ambayo wananchi wake wana kumbukumbu za vita mpaka leo imefikia hatua watu wana pesa wanaogopa kujenga nyumba wanahofia nyumba.

Leo ukienda Msumbiji hata uwe na visa na passport lazima utembee na rushwa mfukoni maana ukikutana na Askari wa kule vibali sio msaada lazima utoe pesa.

Msumbiji endapo utazaa mtoto na mwanaume au mwanamke wa Msumbiji siku ukitaka kumleta Tanzania haiwezekani hawakuruhusu labda uende Maputo ukapande ndege mipakani huvuki.

Msumbiji wana uhaba wa wanawake weupe. Kama una mwanamke mweupe ukienda naye sahau kurudi naye.

Msumbiji hawana utaratibu wa kutumia gari mpaka unafanana nalo likichoka kidogo linawekwa pembeni wajanja wa Songea huku wanaenda kuyakusanya wanayabeba kama chuma chakavu wanakuja kuyaunganisha huku Songea wanapiga hela

Pia kuna fursa ya biashara ya baruti za kupasulia mawe ukinunua za Tsh million moja ukizifikisha maeneo ya Congress au Lichinga ndani ya Msumbiji unauza mpaka million nne ila changamoto ni jinsi ya kufikisha eneo husika.

Msumbiji kuna mambo mengi ya ajabu pia ya kuhuzunisha ila kesho nitakuja kuwaelezea fursa zilizopo Msumbiji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiendelea na mtazamo Huu utaishia jela
 
Naona mnabishana bila ya majibu, mmenifanya niingie chimbo ili kuwatatulieni ubishi wenu.

Picha zitakazofuata ni za Wanajeshi wa MSUMBIJI:-
 
1583190039840.png
 
Back
Top Bottom