JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZA

dindilichuma

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,637
2,496
JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZAA..
..
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje?
...'
Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??
...
Unanawa Mikono Vizuri Kwa Maji Ya Uvuguvugu Kisha Unajifuta Na Tissue Halafu Unakula Chakula Kwa Kutumia Kijiko Mwanzo Mwisho, Uliosha Ili Iweje?
..
Unamtongoza Mwanamke Miez Mitatu Akikukubalia Unafanya Nae Ngono Ukiwa Umevaa Kondomu Kwanini? Kama Ulijua Kuwa Mwanamke Huyo Ni Hatari Kwa Afya Yako Kwanin Ulipoteza Muda Wako Kumtongoza??
..
Hutaki Kusuuza Kikombe Kwa Maji Ya Bafuni Ukiamin Ni Uchafu Wakati Maji Hayo Hayo Unatumia Kupigia Mswaki, Nina Mashaka Na Wewe!
..
Unanawa Bila Sabuni Unapotaka Kula Halafu Unakuja Kunawa Na Sabuni Baada Ya Kula, Kwani Ulikuwa Unakula uchafu/kinyesi??
...

Unampa Mimba Binti Wa Watu Akikuambia Anamimba Yako Unamuuliza..Iliingiaje?? Hebu Kuwa Serious Bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom