Mambo ya ajabu ayafanyayo mwanadamu

Mtu yupo kituoni anasubiria daladala, kila gari linalokuja halina siti hivyo mtu huyo hayupo tayari kusimama kwenye gari anataka akae kwenye siti. Lakini cha ajabu amesimama kituoni zaidi ya robo saa na utakuta jua linamtandika pia hapo kituoni.
 
Hautaki kusuuza kikombe kwa maji ya bafuni ukiamini ni uchafu wakati maji hayo hayo unatumia kupigia mswaki.

Una nawa bila sabuni unapotaka kula halafu unakuja kunawa na sabuni baada ya kula kwani ulikuwa unakula mavi?

Unamkiss mwenzio(kumla denda) lakini akikutolea mate yake na kukuwekea kwenye kiganja chake na kusema uyameze unaona kinyaa.

Anakata mti anatengeneza karatasi halafu juu ya karatasi anaandika "usikate mti"
Safi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom