miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ha hahahahaUnalala na manzi kitandani then unamuuliza vp tufanye leo au kesho
We ni jipu
ha hahahahaUnalala na manzi kitandani then unamuuliza vp tufanye leo au kesho
We ni jipu
nitakutafuta mpaka utoe dawa ya jichounaoa mwanamke wa kichaga then unataka akate viuno chumbani unategemea nini
mwache tuNgoja waje,,,
cc miss chagga
ha hahahaUnafumba macho ili uwone giza hatari
Unachangia serikali maafa ya kagera huku kuna tetesi serikali haina hela.
Ulitegemea nini sasa kwa mfano????
Kula tano!Hautaki kusuuza kikombe kwa maji ya bafuni ukiamini ni uchafu wakati maji hayo hayo unatumia kupigia mswaki.
Una nawa bila sabuni unapotaka kula halafu unakuja kunawa na sabuni baada ya kula kwani ulikuwa unakula mavi?
Unamkiss mwenzio(kumla denda) lakini akikutolea mate yake na kukuwekea kwenye kiganja chake na kusema uyameze unaona kinyaa.
Anakata mti anatengeneza karatasi halafu juu ya karatasi anaandika "usikate mti"
Unachagua CCM ilhali utasoma namba, walalamika nin ulipenda mwenyewe1. Unanunua ndizi mbivu halafu unaosha vizuri ganda la nje kisha unalitupa unakula kipande cha ndani,uliosha ganda kwanini?
2. Unanawa mikono vizuri kwa maji ya uvuguvugu kisha unajifuta kwa tissue halafu unakula wali maharage kwa kijiko mwanzo mwisho,ulinawa ili iweje?
3. Unatongoza mwanamke miezi mitatu akikukubalia unafanya nae ngono ukiwa umevaa kondomu kwa nini? kama ulijua huyo mwanamke ni hatari kwa afya yako mpaka anahitaji kinga kwa nini ulipoteza muda wako kumtongoza?
4. Unapelekwa shule kusoma hutaki, utoro mwanzo mwisho,adabu hakuna, kujisomea hujisomei, matokeo ya NECTA yakitoka una ziro unahuzunika, unahuzunikia nini? kwani hukujua utafeli?
5. Unampa mimba binti wa watu akikuambia ana mimba yako, unamuuliza iliingiaje-hebu kuwa siriasi bwana!!!!
Ongezea ya kwako mdau.
Unachangia serikali maafa ya kagera huku kuna tetesi serikali haina hela.
Ulitegemea nini sasa kwa mfano????
Unategemea mambo mazur kwenye nchi ambayo Magu ndio rais...... BILA SHAKA KWA HIYO KICHWA YAKO HAIKO BRAIN!!!!
Hii hakika nimeipendaAnakata mti anatengeneza karatasi halafu juu ya karatasi anaandika "usikate mti"
......, eti nini?Unalala na manzi kitandani then unamuuliza vp tufanye leo au kesho
We ni jipu
Kimbia mbio saaaana na usiangalie nyumaunaoa mwanamke wa kichaga then unataka akate viuno chumbani unategemea nini