Kuna Mambo Yanashangaza

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
KUNA MAMBO YANASHANGAZAA..
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje?

Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??

Unanawa Mikono Vizuri Kwa Maji Ya Uvuguvugu Kisha Unajifuta Na Tissue Halafu Unakula Chakula Kwa Kutumia Kijiko Mwanzo Mwisho, Uliosha Ili Iweje?

Unamtongoza Mwanamke Miez Mitatu Akikukubalia Unafanya Nae Ngono Ukiwa Umevaa Kondomu Kwanini? Kama Ulijua Kuwa Mwanamke Huyo Ni Hatari Kwa Afya Yako Kwanin Ulipoteza Muda Wako Kumtongoza??

Hutaki Kusuuza Kikombe Kwa Maji Ya Bafuni Ukiamin Ni Uchafu Wakati Maji Hayo Hayo Unatumia Kupigia Mswaki, Nina Mashaka Na Wewe!

Unanawa Bila Sabuni Unapotaka Kula Halafu Unakuja Kunawa Na Sabuni Baada Ya Kula, Kwani Ulikuwa Unakula Mavi?

Unampa Mimba Binti Wa Watu Akikuambia Anamimba Yako Unamuuliza..Iliingiaje?? Hebu Kuwa Serious Bwana

Kila Ukigonga Chumba wanachokaa watoto wa kike utasikia "Subiri Tuvae"
Huwa najiuliza wanafanyaga nini wakiwa peke yao
Anyway,Huwa nalipenda sana hilo jibu coz kuna vitu hua na imagine


 
Watu walioendelea hawatumii leso kufutia makamasi... Kuna tissue/wipes za kazi hiyo. Unatumian once na kutupa
....
Unaosha kuondoa vijidudu visivyoonekana kwa macho... Katika kutoa maganda vijidudu hivyo vina uwezo wa kuingia kwende ndizi. Ni bora kua salama tu!
....
Condom si za kuzuia magonjwa tu mkuu!!! Ata mimba zisizotarajiwa
....
Kwanini mtu atumie maji ya bafuni kuswaki? Huyo ana yake!!!
....
Unanawa na sabuni ukitoka kula kutoa harufu ya chakula mkononi... Hamna anaependa kutembea njiani huku mikono inanuka samaki au nyama
....
Mda mwingine watoto wa kike wakiwa wenyewe chumbani wanapenda kujiachia... Yaani kua huru! Atavua sketi na kubaki na chupi au anajifunga kanga tu!!! Ko inabidi umpe mda ajistiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom