Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Wadada wanasema tu hapa lakini siku hizi wanaongoza kwa kuhonga...!!
 
ha ha ha acha woga wewe pesa huhimu bila kuhonga unataka nn??
mwanaume majukum bhana

sio kuhonga andika kupewa

afu huhimu ndo lugha gani?

mi hela nakupa nawewe ukipata unanipa mradi tunapendana na ni reallove mazima
 
Afu na wewe! Hebu tuondokee hapa! Yaani ukilala hela, ukiongea hela, hata ukienda kule.... hela toka bana mi ntakukemea!

Hata ukinikemea lakin ujue pesa sabun ya roho bana.....
 
Wanaume wa siku hizi kwa kulia lia!
 

kweli kabisa
 
haya asante Tembosa sasa na we endelea kuishi ki Karen hii ya kushea majukumu ya kulea familia pasu pasu uone matokeo yake,ni full ugomvi kila siku.

sio ugomvi tu na kuchapiwa kunakopelekea ndoa kuvunjika vipande vipande
 
Last edited by a moderator:
sio kuhonga andika kupewa

afu huhimu ndo lugha gani?

mi hela nakupa nawewe ukipata unanipa mradi tunapendana na ni reallove mazima

asante kwa kunirekebisha

umesema vzuri nami nikipata sio nakupa sema tunatumia kwa maana ni mwili mmoja

cc spade4spade
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndio mnanifanya niendelee kujificha na kuwaogopa kuliko ukoma! Anyway, acha tu mimi nikae, sitaki tena hayo mavitu yenu!


uuuuupi pole yako wewe unakataa wakati wenzio wanahonga magari,viwanja na kutoa cheque.
umri utaenda na lazima utaoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…