MtuloBM
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 638
- 639
dhambi zote zinasameheka isipokuwa kumdhihaki roho mtakatifu
Kasema laana hajazungumzia hukumu
dhambi zote zinasameheka isipokuwa kumdhihaki roho mtakatifu
Umeionea sana namba 7 hujaitendea haki naomba itoe Mara moja1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
who are you to feed this kind of mentality to others.1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
Facts Mkuu.1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
dhambi zote zinasameheka isipokuwa kumdhihaki roho mtakatifu
Reference za kutosha zipo, nenda katafutewho are you to feed this kind of mentality to others.
Hoja haijakamilika, umebwatuka tu.
hakuna reference ya vitabu vya dini.
Maada chonganishi