Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

😁🌞🤣🤣🤣

Uki ..uta... Uta ...una ...

Unatuchanganya sanaaaa....

Tena unatutishaaaa. ....



Jehanamu panatisha ??



Kwendraaaa huko .
 
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
No 1 basi ndo kusema kila mwanaume amelaanika!.
Mana ukiachilia mbali tafsir ya malaya ni mwanamke anayejipatia kipato kwa kuuza ngono, usisahau malaya ni mwanamke aliyetembea na wanaume wengi yan 1+!
Na kwa vile anakuwa amevifanya na me, bas me huwa anavifanya na aliyefanywa tayar. Hivyo kila mwanaume hutembea na malaya kwa zamu yake!
Dini nyingine, kila tendo la ngono jipya ni ndoa haram mpya yan inakosa usajiri tu. Kwahiyo, mara nying kama si zote, mwanamme huoa mke wa mtu au mke wa watu! Yaan malaya!
Anayepona katika hili ni tu mwenye bikra( hapa simaanishi utando/membrane)
 
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
1. Wazungu na waarabu wamefanya biashara ya utumwa na wizi lkn leo hii wapo mbali sana kiuchumi kuliko sisi?
2. Wazungu na waarabu wametuletea dini na majina yao lkn bado wanafanya mambo mabaya lkn wametuzidi mpk wanatupa misaada?
 
Laana siyo lazima imkute yeye itamkuta hata mwanae nae atakuwa anafanywa anayoyafanya yeye kwa watoto wa watu.

Pia karma hairudi kwake wakati unaotaka wewe ipo siku atajutia anayoyafanya sometimes hata anapokuhadithia hayo ana ya moyoni yanamsumbua ni vile hakwambii anakufa na tie shingoni.
Inawezekana pia. Jamaa anasema hata mwanamke awe chongo au hana macho ila nyuma akiwa na mzigo yeye kwake burudani.
 
Hizi ni ngonjera za brain washed tu, nimefuatilia kwa maskini kinachoendelea duniani wale tunaowatazama kama wacha Mungu ndio wamelaanika na kupigika, na wale tunaowaona kama mfano wa shetani ndio wametusuwa maisha na wanaenjoy uwepo wao duniani.

Hawa wacha Mungu maskini ndio mtaji wa manabii na mitume wa leo makanisani, na mitume wanakula kondoo wao siyo kitoto.

Halafu kuna wanawake ukikulana naye unazowa mibaraka tu, msikalili kuwaita Malaya wakati wapo wanawake wenye Nyota Kali sana ukiungana naye kiroho hata kiufuska tu mambo yako yananyooka, wafia dini mnadanganya sana watu.
 
Kuna watubwanaongoza kifanya hayo kama matajiri wakubwa???
 
Maisha ni mafupi na yamejawa uchovu na kujilisha upepo. Vipi kuhusu wanaolipa curses za kizazi?. Karmic laws zinasemaje wakati mwingine?
Siyo kila anayelaanika anakubali kwa hiyari yake kulaanika mkuu. Vipi kuhusu pseudoscience inyayotumika kumuharibia
mtu urazini na wakati wake ujao.
 
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
Wacha utoto na udini.
 
Umalaya siachi mpaka nipate mtoto anayekata kiu yangu kiusahihi. Bado niko kwenye utafiti dugu muanzisha uzi.
 
Back
Top Bottom