Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kufira wanawake, na ndio story zake ukikaa nae. Na pia anawaburuza sana watoto wa ndugu zake wa damu. Ila wiki iliyopita ameshusha Golden Dragon 4 (Bus 4). Kiufupi maisha yamemnyookea.
 
Ni mwarabu mwenzenu wa shelui?
 
Maoni yametolewa mwenye kusikia na asikie,ila mimi huwa naamini ktk kujiwekea mipaka ni salama zaidi kuliko kwenda tu bora liende.

Dunia siyo sehemu salama ya kujiachia kutokana na hakuna aliye guaranteed kwamba kitu fulani atakuwa nacho muda wote,kama ni nguvu zitamalizwa na starehe zisizo kikomo,pesa zitaisha hujafanya lolote la maana afya itatetereka kutokana na maradhi yatakayopatikana kwa fujo za mtu husika.
 
Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kufira wanawake, na ndio story zake ukikaa nae. Na pia anawaburuza sana watoto wa ndugu zake wa damu. Ila wiki iliyopita ameshusha Golden Dragon 4 (Bus 4). Kiufupi maisha yamemnyookea.
Laana siyo lazima imkute yeye itamkuta hata mwanae nae atakuwa anafanywa anayoyafanya yeye kwa watoto wa watu.

Pia karma hairudi kwake wakati unaotaka wewe ipo siku atajutia anayoyafanya sometimes hata anapokuhadithia hayo ana ya moyoni yanamsumbua ni vile hakwambii anakufa na tie shingoni.
 
Kwann Mungu kakataza zinaaa Ili usipate magonjwa ya kiroho na kimwili. Zinaa ni mlango wa kuzimu, kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi ambayo KILA mwanaume utupia hapo uchafu, so unaweza ukaondoka na magonjwa ya kiroho.
 
Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kufira wanawake, na ndio story zake ukikaa nae. Na pia anawaburuza sana watoto wa ndugu zake wa damu. Ila wiki iliyopita ameshusha Golden Dragon 4 (Bus 4). Kiufupi maisha yamemnyookea.
Mungu hutunyeshea wote wema na wabaya Wala habagui kwaiyo uyo jamaa asijifanye mjanja sana
 
Namba mbili si itakuwa kila mtu? Maana sikuizi asilimia 98% ya madem wanauza
True thus tunapata kizazi kilichouza nafsi yake kwa shetani yaani kizazi kilichopungikiwa na utukufu, kizazi kisichojua jema na baya.
 
Kila mmoja kaja peke yake, so kila mmoja aangalie maisha yake
 
Back
Top Bottom