Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

Kufanya mapenzi na ndugu tutaepuka vipi mbona wanajilengesha sana hasa watoto wa mjomba
chastity-belt-torture-device-sketch-vector-male-chastity-belt-medieval-torture-device-sketch-e...jpg
 
ok, kuna watu wameshapitia yote hayo na bado wapo/tupo duniani, inatushauri nini sasa ili tuepukana na hizo athari ulizoonesha...
 
Maisha ni mafupi na yamejawa uchovu na kujilisha upepo. Vipi kuhusu wanaolipa curses za kizazi?. Karmic laws zinasemaje wakati mwingine?
Siyo kila anayelaanika anakubali kwa hiyari yake kulaanika mkuu. Vipi kuhusu pseudoscience inyayotumika kumuharibia
mtu urazini na wakati wake ujao.
Maelezo please kuhusu Pseudoscience
 
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
Haraka sana iondoe #7 haikustahili kuwepo kwenye hii orodha
 
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
Ahsante mungu
 
Dunia yenyewe imelaaniwa kabla kiumbe kinachoitwa bainadamu hajaja.

Shetani mwenyewe haya ndio makazi yake
Na ndio mfalme wa Dunia.

Wewe nani upingane nae

N.B Omba Mungu tu ila mambo ya hovyo ndio Wanadamu wanapenda [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi waiba sadaka tupo salama kwa mujibu wa mawazo yako[emoji3]
 
Laana siyo lazima imkute yeye itamkuta hata mwanae nae atakuwa anafanywa anayoyafanya yeye kwa watoto wa watu.

Pia karma hairudi kwake wakati unaotaka wewe ipo siku atajutia anayoyafanya sometimes hata anapokuhadithia hayo ana ya moyoni yanamsumbua ni vile hakwambii anakufa na tie shingoni.
hapa sasa unabeti mkuu😅😅😅

yaani kunayandua anyandue yeye mikosi wapate wajukuu!!
basi hakuna aliye salama,asiyefanya huwenda ana laana ya babu yake aliyefanya.
 
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
Hapo mie vi3 tu ndio sijafanya.[emoji28]
 
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
Kwa hiyo andiko lako linawalenga wanaume tu? (Kwa mujibu wa namba 2)
 
Back
Top Bottom